Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Magufuli hakuwahi kushindwa! Nchi ilionekana inaelekea wapi sasa hivi kila samaki kambale. Na kujitia mwema mbele ya majizi... fikiria mtu anajulikana anamshahara wa 7m ame declare kwenye tume ya maadili hana biashara but kwenye account ana 2.3 B unamuuliza hizi umetoa wapi hana majibu uki freeze account unaonekana katili kweli?
Weka ushahidi kaiba au kafanya ufisadi. Peleka mahakama ya mafisadi huna ushahidi huna haki ya ku freeze account!
Huo ni wivu wala siyo uzalendo.
Siyo kila kitu ni wazi kwa hadhira ya dunia kuona.

Kuwa na pesa siyo dhambi wala jinai.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mfumo dume tatizo la akili zetu za kiafrika.
Mfumo Dume ni maagizo ya Mungu Yesu ni mwanaume kwanini hakuwa mwanamke kuja kuwakomboa? Mtume Mohamed S.W ni mwanaume inamaana huyo Mungu wako hakujua kuna wanawake?

Wenye mbegu wote ni wanaume .....ndio wazazi wa kwanza.... wote ni me usipingane na nature mwanaume ndio kichwa, kama vipi mwachie mkeo akuongoze.... tuyaache yote hayo issue ni uwezo wa mama kimaamuzi hapo ndio shida inapo anzia.
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu.Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.

Wewe ni Muhanga wa Mwendazake!

Hii ni hangover ya Chato inakusumbua. Mama is here to stay. Get used! au tafuta nchi nyingine uhamie..Maybe Yemen na Afghanistan panakufaa!
 
Weka ushahidi kaiba au kafanya ufisadi. Peleka mahakama ya mafisadi huna ushahidi huna haki ya ku freeze account!
Huo ni wivu wala siyo uzalendo.
Siyo kila kitu ni wazi kwa hadhira ya dunia kuona.

Kuwa na pesa siyo dhambi wala jinai.

Everyday is Saturday............................... 😎
Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?
 
Mama anaweza.. .. tena navyoona atafanya vizuri zaidi ya maraisi waliopita, upo hapo mzee!

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
Watu watajinyonga una maanisha mikumi na mitano ya mama 😀 .

Wazee wa ku freeze account na kunegotiate chao na cha jamhuri, wamekatwa ngebe wamebakia na ngoma za kudema. Imeisha hiyo!

Everyday is Saturday................................😎
 
Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?
Wewe unayetuhumu!
Poleni sana, jamani sasa sijui mtakuwa bodaboda, maana kazi za SNITCH kuchungulia account na ku freeze hazipo tena!!
Malipo ni hapa hapa duniani!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki...
na wewe umeanza kudemka demka, kigogo ametamalaki sana wakati wa mwendazake mbona kashindwa kumshughulikia
 
Watu watajinyonga una maanisha mikumi na mitano ya mama 😀 .

Wazee wa ku freeze account na kunegotiate chao na cha jamhuri, wamekatwa ngebe wamebakia na ngoma za kudema. Imeisha hiyo!

Everyday is Saturday................................😎

🤣🤣🤣 wapende wasipende, wachukie wasichukie Samia ndio raisi wao.. ..mitano kwanza, alafu tunampa 10, tena bila kinyongo mkuu.

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Wewe unayetuhumu!
Poleni sana, jamani sasa sijui mtakuwa bodaboda, maana kazi za SNITCH kuchungulia account na ku freeze hazipo tena!!
Malipo ni hapa hapa duniani!

Everyday is Saturday...............................😎
Hahaha jichanganye uone.
 
Mfumo Dume ni maagizo ya Mungu Yesu ni mwanaume kwanini hakuwa mwanamke kuja kuwakomboa? Mtume Mohamed S.W ni mwanaume inamaana huyo Mungu wako hakujua kuna wanawake? Wenye mbegu wote ni wanaume .....ndio wazazi wa kwanza.... wote ni me usipingane na nature mwanaume ndio kichwa, kama vipi mwachie mkeo akuongoze.... tuyaache yote hayo issue ni uwezo wa mama kimaamuzi hapo ndio shida inapo anzia.
Hizi ndizo akili zenyewe zinadumaza maendeleo ya mtu mweusi. Ndizo akili ambazo zinaufanya umaskini uendelee kuwepo kwenye mataifa mengine ya dunia ya watu duni.

Mama anaowasaidizi wengi wanaume, urais ni taasisi mkuu. Inabidi uelewe maana pana ya urais kuwa taasisi.

Wanaume watano wameongoza TZ na bado malalamiko yanasikika kutoka kila kona, ngoja Mama apewe miaka hii minne tuangalie wanawake nao watatufikisha wapi.
 
tatizo umeshakariri mnapenda kutawaliwa badala ya kuongozwa, mwacheni mama aongoze nchi, kama kuna mtu anatishiwa maisha vyombo vya dola vipo, taasisi husika zifanye kazi zao badala ya kusubiria rais aseme,
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Ukome kabisa
 
Back
Top Bottom