Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Swala sio jinsia yake ni uwezo wake wa kimaamuzi.... tunarudi kulekule tena zaidi ya JK full ushikaji na kubembelezana... mijitu mijizi, mizembe, mirafi unacheka nayo subili tutakapo anza kukopa mishahara kwa kina Rostam ndio utaelewa hawezi. Mfano mdogo tu tume ya Madini unajaza former Barrick employee ndio waongoze unategemea nini? si tupo hapa utaja nielewa tu.Kama mama anaweza kuiongoza familia vivyo hivyo anaweza ongoza raia. Mbali na hapo ni mtazamo hasi kutokukubali kuongozwa na mwanamama