Ngurumoyaleo
Member
- Dec 6, 2016
- 54
- 75
Very Goood! Hapo umenena Mkuu, Mama Mhe. Rais aachwe, apewe moyo ili aweze kufanya kazi zake kwa kujiamini na hapo atafanya kwa ufanisiKila mtu amejaa ubinafsi...Judgmental na full of hutred...Mama anajitahidi kuleta umoja tayari makundi yanayotaka upendeleo na uhakika wa interests zao zina mvuta huku na kule...Mpeni basi nafasi, atendee kwa kadri ya ufahamu wake. Weakness kila mtu anayo, ziacheni kwanza weakness zake kuzeni talents zake ili apate confidence ya kuongoza nchi kwa amani na upendo