Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwa akili yako uwajibukaji ni kufokea watu, kutukana, kutembea nchi nzima kwa gari na kujisifu na kudhalilisha watu na viongozi?
mbona unatafsiri uwajibikaji kwa mawazo yako!!!ambayo hata mleta mada hakuonyesha dalili ya kuyazungunzia??
 
Ametumbua yale majizi yaliyokuwa yanalindwa na jambazi kuu ....

Bashiru, lile la Bandari, yale ya TASAC, lile la Posta... yote kayafutilia mbali...

Yaende Chattle yakasujudu kaburim la mungu wao...
wewe mzee kumbe nawe ni mpuùzi kabisa.

muwe mnakumbuka umri mliopo kwanza kabla ya kupost chochote humu.
 
ni heri tuishi kwa matumaini kuliko hofu.....ni heri tuishi kimasikini kuliko ndufu zetu wapotee na wemgine wapate ulemavu kisa kuhoji.
ndufu=ndugu.

kuna kuhoji kwa nia ya kuelewa(kujenga)na kuhoji ili kupata umaarufu au sifa za kisiasa.

ndio maana mmoja aliambiwa atulize makato yake chini.
 
100% ametoka kuzipata kura za uenyekiti ww ungali hujumu humu JF.
Imeshaisha, kifo tu ndo kitawatenganisha mpaka mwisho wa kipindi chake.🤣
 
Kwa akili yako uwajibukaji ni kufokea watu, kutukana, kutembea nchi nzima kwa gari na kujisifu na kudhalilisha watu na viongozi?
Ndio maana mtoto au mwanao akikosea anafokewa, anachapwa viboko hapohapo..na mwizi au jambazi akikamatwa anafungwa jela...wewe jomba naona unapenda kubembelezana eeeh..una akili sana tazama usije ukawaingiza wenzako choo cha like..
 
Hana sema jungu limemdokea tuu maana ukifuatia elimu aliofikia na elimu /kigezo kinachotakiwa Rais awe nacho ili aweze chaguliwa kuwa Rais mama hana.
Naomba niishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ramli chonganishi wewe! Eti mama anahema, wewe hujawahi kuhema? Mwache mama afanye kazi hata miezi mitatu hajamaliza. Yule sio Magufuri aliyetaka kusifiwa na kuwamwagia fedha
 
Kwa hiyo wewe unataka afanyeje kuhusu corona, hebu tuanzie hapo kwanza maana machadema ndio mnapopang'ang'ania hasa.
 
Hana sema jungu limemdokea tuu maana ukifuatia elimu aliofikia na elimu /kigezo kinachotakiwa Rais awe nacho ili aweze chaguliwa kuwa Rais mama hana.
Naomba niishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hukuyasema hayo alipoteuliwa kuwa makamo wa Rais? Ulikuwa hujui kuna siku anaweza kuwa Rais? Ninyi ndiye mliozoea kusigina katiba kila uchao kwa matakwa yenu. Kubali tu zile zama za ushenzi zimeisha
 
Hata kichaa Lissu alisema tutaokota maiti barabarani kwa wave hiyo ya India, mbona hata yeye hajatuokotea hata maiti moja?? na wewe na machadema wenzako wave ya India ikipita mniokotee maiti moja mtaani tuone basi!! wacha kututisha!!!
 
Hapana Uharo wangu haunukii hivyo,ila huo utawaliwa wako ndio uliokufanya udumae akili,eti kwa wazungu ,wazungu waliowaaminisha nyinyi kuwa Afrika ni watu weusi watupu ,mpaka mmezidiwa na ujuha na kuamini hayo ,unasahau kuwa hata ndani ya Tanganyika vijijini huko misituni kabisaa wapo watu weupe wachilia nchi za afrika ya kaskazini ukivuka kwa wanubi tu hapo,achana nayo hayo maana huna uelewa.

Kumbuka Raisi Samia anapozungumza anaweka ahadi kama umemsikiliza na kumfahamu,na mengi aliyasema yakiwepo ambayo mkaguzi aliyazungumzia kinaga ubaga,juzi Mwanza kazungumzia ifikapo au tujue kuwa Mwezi wa mei mwakani 2022 mambo ya wafanyakazi yatakuwa mazuri ,hio ni ahadi ,usipotimiza ahadi unakuwa nani ?
Kuongoza nchi sio lele mama, ukatoa hotuba ukapigiwa makofi na kusifiwa mfalme amevaa nguo nzuri,mpaka wanapotokea wanuka uharo wakasema mfalme upo uchwi.
 
Mbona hukuyasema hayo alipoteuliwa kuwa makamo wa Rais? Ulikuwa hujui kuna siku anaweza kuwa Rais? Ninyi ndiye mliozoea kusigina katiba kila uchao kwa matakwa yenu. Kubali tu zile zama za ushenzi zimeisha
Hazijaisha na hazitakaa ziishe.
Nukuu:mimi na magufuli ni kitu kimoja kazi iendelee;
Hivi unajua /elewa maana ya hii kauli?
Kingine kuchaguliwa kuwa makamu ile ni kama kivuli tuu maana haijawahi tokea kama kilichotokea ndioaana nikasema hapo juu kuwa "jungu limemdondokea"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unataka afanyeje kuhusu corona, hebu tuanzie hapo kwanza maana machadema ndio mnapopang'ang'ania hasa.

Corona haina cha kufanya na Chadema wala agenda yoyote katika hizo 4 nilizoorodhesha hapo. Hizo ni agenda za msingi kwa mzalendo yeyote mwenye uchungu na nchi hii.

Nimeandika wazi kinachotakikana kuhusiana na Corona: "tupate ripoti na ushauri wa wataalamu kuhusiana na ugonjwa huu."

Mbona kujivika ujuaji wa kimsukuma msukuma jombi? Kuweni na aibu japo kidogo basi? Kila kitu mmetanguliza siasa uchwara.

Lini mta balehe mpate kujua kuwa si kila mtu ni mburula kama nyie?

Disgusting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…