Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Na vipi kutegua kitendawili kilichomshinda hayati takribani kwa miaka 6, cha kupandisha madaraja watumishi wa umma? Au huo siyo uthubutu?
 
Tatizo la Tanzania ndio hili
Yan kila mtu anauwezo wa kuisema the way anataka taasisi ya urais!

Ww ujui kuwa urais ni taasisi?
Kiboko yenu alikuwa Magufuli tu waropokaji hovyo! Maana ukiwasikiliza wabongo kwa kila lalamiko lao utajikuta unaogopa kufanya kila kitu!
Watakuyumbisha vibaya mno yani!
 
Inaonekana hata kuongoza familia yako huwezi,asubuhi yote hii kuanza kumsema mama wa watu kwamba hana uwezo!! Shame on you...Fanya kazi acha majungu tena asubuhi yote hii
 
Mpaka aue watu ndio utaona anaweza kuongoza?
 
Usitukumbushe habari ya dikteta, mtu anataka kuongea yeye tu mwanzo mwisho miaka 5 wengine hapana - eti na kauli yake inageuka hapo hapo na kuwa sheria.
Magufuli alikuwa na uthubutu wa papo kwa papo na hata akiwa mbali, halazi damu kwa wazembe wa mchana kweupe. (Alikuwa na kasoro zake nyingi tu, ila alikuwa anajua kusimamia uchapa kazi).
 
Kiboko yenu alikuwa Magufuli tu waropokaji hovyo! Maana ukiwasikiliza wabongo kwa kila lalamiko lao utajikuta unaogopa kufanya kila kitu!
Watakuyumbisha vibaya mno yani!
Umfuate yule muuaji huko ghamboshi ukaishi naye.
 
Namuombea mama asilaze damu, mwenyezi amsaidie maana hili DUBWANA linaloitwa Tanzania, ukienda na mambo ya kubembelezana aliendi popote.

Kila la kheri mama Samia.
 
Kiboko yenu alikuwa Magufuli tu waropokaji hovyo! Maana ukiwasikiliza wabongo kwa kila lalamiko lao utajikuta unaogopa kufanya kila kitu!
Watakuyumbisha vibaya mno yani!

Yah ndio maana Magu alikuja na staili yake,
Yan mtu hata ajui usiku atakula nn anakuja kumuongelea rais kama anaongea na house girl wake
 
Mwacheni mama afanye kazi. Ndo kwanza hata miezi miwili ofisini hajatimiza.
 
Yah ndio maana Magu alikuja na staili yake,
Yan mtu hata ajui usiku atakula nn anakuja kumuongelea rais kama anaongea na house girl wake
Wabongo ni vichwa vya wendawazimu kila mtu akija ananyoa tu atakavyo! Sasa Magufuli alitaka kuset standards na kama uliona alianza kuwa kavu baada ya wapinzani kuongoza genge la raia ambao wao kazi yao ni kupinga tu na kuropoka hovyo mitandaoni na kuidhihaki taasisi ya uraisi!

This was also done by the late Nyerere ila approach yake ilikuwa kuwachapa fimbo hao watu wasiojielewa sasa sijui walitaka na Magufuli aanze kuwachapa bakora akina Mbowe?
 
Enzi za msukuma mwenzio hata hiyo ripoti ya CAG usingeiona..... get used to it, he's gone, forever, hatarudi tena, ... as a country tumejifuza , hatutarudia tena kufanya kosa lile , Mungu ni mwema kila wakati" na kila wakati Mungu ni mwema na anatupenda sana watanzania.
Kazi ziendelee.
 
Watu wenye akili humpima raisi kwa japo kipindi cha siku 100? Wewe unampima kwa wiki 3.
Mashetani nyie
Kamfufueni mle nyama
 
Ni kawaida siku zote, ukitaka kujua nani bora kuliko wengine lazima ufananishe.

Shamba bora lazima ufananishe na shamba lingine, na ni kwa kila kitu. Gari kwa gari, mtu na mtu, Daktari na Daktari na vingine vingi. Na hii itakuja kwa Rais kwa Rais.
 
Unajua sisi wananchi hatutaki buguza kabisa ndiyo maana kuna baadhi ya vijiji ukienda wao hawajui hata umuhimu wa rais yaani wao wanachoshuru ni amani na maisha yao yanakwenda vp hayo mengine mtajijua nyinyi na serikali yenu

Mimi nimeishi sana maisha ambayo sikujua kama ipo kijijini kwetu kutakua na umeme yaani niliamini haiwezekani yaani wewe achaa tuu
 
Yaani asubuhi yote hii unaamka na hangover kwa mama? Wacha ujinga mwamba! Mama mbona kazi anapiga fresh tu? Mlizoea kututukana nyie Wasukuma kila uchao! Tukubali tu kwamba Jiwe limefamba na hatutaliona tena!
Dah, mkuu wasukuma wamekufanya nini mbona umejaa sumu hivyo?.
 

Wasukuma wa mataga ndivyo walivyo...
 
Kwani we unataka anaueua ndo ujue ni rais. Jpm alikuwa muuaji na mama Samia unataka awe muuaji ndo ujue ni raisi!

Mama Samia anaongea kwa busara hatutaki muongo anayesema uchumi unakua kumbe unaporomoka kutoka asilimia Saba mpaka nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…