Makubaliano ni sehemu ya mchakato wa mkataba.Kwani wamesaini mkataba au wamezungumza na kufikia makubaliano tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkuda wa Chadema unapata wapi legitimacy ya kuponda kazi nzuri ya hayati JMT.Huna lolote we sukuma gang. Kwa huyo Maghufuli mikataba imewahi kuwa wazi ?!. Ni lini iliwahi kuwekwa wazi mikataba ?! Wapinzani Cdm wamekuwa wakidai miaka yote mikataba ipitishwe bungeni kwa kujiridhisha lakini Ccm na serikali haijawahi kuwa tayari.
Mwacheni Mama afanye kazi yake. Na daima hawezi kuongoza sawa na huyo Maghufuli wako. Maghufuli mwenyewe kasoro zilikuwa kibao
Kama hamtaki atengue uteuzi, hakuna wa kumuuliza mamlaka zote zake.😂😂😂Kabudi ni useless tu angekuwa na akili angejiuzulu hiyo nafasi Mama hamtaki kwanza..
Mwendazake akifuata tatatibu "Hatupangiwi"Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
''Sukuma-Gang'' na ninyi anzeni kuonja joto la Jiwe.Utawala wenu ulishafikia mwisho mmebaki kulialia!!!Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Kazi nzuri kwako uliekuwa unalamba miguu. Kwa waTz wengine ni bora amepisha .We mkuda wa Chadema unapata wapi legitimacy ya kuponda kazi nzuri ya hayati JMT.
Mkuu. MOU ndiyo msingi wa mkataba. MOU ikiwa mbaya na mkataba vilevile utakuwa mbaya. Garbage in, garbage out. Kwa hiyo hapo prof kalambwa chenga. He has to read the mark on the wall.Kilicho sainiwa KENYA sio mkataba.. Kilicho sainiwa ni Makubaliano ya kuelekea katika kufanikisha huo mradi wa Bomba la gesi..
MEMORANDUM OF UNDERSTANDING (MOU) ndo kitu kilichosainiwa, hii inamaanisha mazungumzo zaidi yanafuatia kuelekea katika kusaini mkataba wenyewe.
Tuwe tunafuatilia kabla ya kutoa taarifa zetu.
Pengine nisaidiwe Rais amekwenda Kenya pasipo kujua mambo gani yatafanyika kule? Na ni lazima waziri wa wizara Fulani awe na taaluma ya mambo yaliyomo ndani ya wizara yake? Rais anapofanya ziara Kama hii ya Mh. Samia kwa suala la kuingia mikataba kwa dunia ya leo hawezi kuwasiliana na wataalam wa sheria nchini mpaka lazima na wao wawepo?Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Mwana dezo upo???Tulikuwa na maisha mazuri na ya furaha wakati unaowaita mafisadi wanatawala Tanzania kuliko hao wazalendo wako wa kuchonga akina Magufuli. Kama uzalendo ndiyo yale Mwendazake alikuwa anafanya, basi uzalendo ni UHANITHI
Mafisadi waendelee kwa maisha bora ya Watanzania
Mkuu hujaona kile kikaragosi cha injini kinavyotolewa vipuri, ndio hivyo tena.Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Constitutional controversy and crisis!Mambo ya muungano yapo 22 swala la Gas na mafuta si swala la muungano huyy mama ni wazanzibari inakuwaje anaingia mikataba ya kuuza Gas yetu wakati si jambo la muungano??
Kazi inaendelea. CCM Oyeeeee!!Mkuu hujaona kile kikaragosi cha injini kinavyotolewa vipuri, ndio hivyo tena.
Kazi unayo maana per day thread zaidi ya kumi ila humu utachoka mwenyeweKwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile
Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje[emoji848][emoji848]
Hii ni hatari sana kwa maana hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania, ambayo ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tannganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza?Constitutional controversy and crisis!
Sidhani.kama Kuna team Chato .itafaidika Nini,wakati Mwendazake hayupo.Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Upo sahihi kabisa, pia yawezekana walishiriki kikamilifu katika maandalizi yake, na wameenda wasaidizi wao!