Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Huna lolote we sukuma gang. Kwa huyo Maghufuli mikataba imewahi kuwa wazi ?!. Ni lini iliwahi kuwekwa wazi mikataba ?! Wapinzani Cdm wamekuwa wakidai miaka yote mikataba ipitishwe bungeni kwa kujiridhisha lakini Ccm na serikali haijawahi kuwa tayari.

Mwacheni Mama afanye kazi yake. Na daima hawezi kuongoza sawa na huyo Maghufuli wako. Maghufuli mwenyewe kasoro zilikuwa kibao
We mkuda wa Chadema unapata wapi legitimacy ya kuponda kazi nzuri ya hayati JMT.
 
Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Mwendazake akifuata tatatibu "Hatupangiwi"
 
''Sukuma-Gang'' na ninyi anzeni kuonja joto la Jiwe.Utawala wenu ulishafikia mwisho mmebaki kulialia!!!
 
Mambo ya muungano yapo 22 swala la Gas na mafuta si swala la muungano huyy mama ni wazanzibari inakuwaje anaingia mikataba ya kuuza Gas yetu wakati si jambo la muungano??
 
Kilicho sainiwa KENYA sio mkataba.. Kilicho sainiwa ni Makubaliano ya kuelekea katika kufanikisha huo mradi wa Bomba la gesi..

MEMORANDUM OF UNDERSTANDING (MOU) ndo kitu kilichosainiwa, hii inamaanisha mazungumzo zaidi yanafuatia kuelekea katika kusaini mkataba wenyewe.

Tuwe tunafuatilia kabla ya kutoa taarifa zetu.
Mkuu. MOU ndiyo msingi wa mkataba. MOU ikiwa mbaya na mkataba vilevile utakuwa mbaya. Garbage in, garbage out. Kwa hiyo hapo prof kalambwa chenga. He has to read the mark on the wall.
 
Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Pengine nisaidiwe Rais amekwenda Kenya pasipo kujua mambo gani yatafanyika kule? Na ni lazima waziri wa wizara Fulani awe na taaluma ya mambo yaliyomo ndani ya wizara yake? Rais anapofanya ziara Kama hii ya Mh. Samia kwa suala la kuingia mikataba kwa dunia ya leo hawezi kuwasiliana na wataalam wa sheria nchini mpaka lazima na wao wawepo?
 
Tulikuwa na maisha mazuri na ya furaha wakati unaowaita mafisadi wanatawala Tanzania kuliko hao wazalendo wako wa kuchonga akina Magufuli. Kama uzalendo ndiyo yale Mwendazake alikuwa anafanya, basi uzalendo ni UHANITHI

Mafisadi waendelee kwa maisha bora ya Watanzania
Mwana dezo upo???
 
Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Mkuu hujaona kile kikaragosi cha injini kinavyotolewa vipuri, ndio hivyo tena.
 
Mambo ya muungano yapo 22 swala la Gas na mafuta si swala la muungano huyy mama ni wazanzibari inakuwaje anaingia mikataba ya kuuza Gas yetu wakati si jambo la muungano??
Constitutional controversy and crisis!
 
Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Kazi unayo maana per day thread zaidi ya kumi ila humu utachoka mwenyewe
 
Tunapeleka gas Kenya mkuu
Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile

Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje[emoji848][emoji848]
 
Constitutional controversy and crisis!
Hii ni hatari sana kwa maana hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania, ambayo ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tannganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza?

Leo ukianimbia sijui Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania haya eneo ya ilo jamuhuri ni wapi? Watuonyeshe tu kwamba hapa ni Eneo la Jamuhuri hapa ni eneo la Tanganyika eneo la Zanzibari linajulikana kila mtu analijua.
 
Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Sidhani.kama Kuna team Chato .itafaidika Nini,wakati Mwendazake hayupo.
Nadhani zaidi Ni tofauti wa mitizamo ya kizalendo. Njia Bora ipi ya kufikia lengo. Tusitizame kimachozungumzwa Bali matokeo ndio kiwe kipimo chetu
 
Upo sahihi kabisa, pia yawezekana walishiriki kikamilifu katika maandalizi yake, na wameenda wasaidizi wao!

Wengi wetu huwa tuna macho ya kuona mabaya tuu na akili za kuwaza uovu tuu
Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom