Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kinachonishangaza kwa herufi kubwa ni kwanini huyu mama anakubalika kwa kiwango hiki

na hawa wapinzani waliokua wanaichukia ccm kwa kiasi kile? kwanini? na kila hatua anayopiga

wapinzani wanapiga makofi na kufurahia,yani ni rahisi wa kwanza ambae wana ccm ndio tunamkosoa

na ni rais wa kwanza kutoka ccm ambae ni chaguo la upinzani,eti leo hii Mbowe ana hashtag #Samia2021-2030 kweliiiii?!!!?!?

natamani yote haya yawe ni ndoto,matamanio yangu ni mtu aniamshe aniambie Amka wewe,halafu nimsimulie nilichokua naota...
Kwangu huyu mama ni bora zaidi kuliko mwendazake, hakuna hata mradi mkubwa wowote aliokamilisha zaidi ya kutia hasara taifa, maamuzi mabovu na ya kuumiza, sema mama hataki kusifiwa ndio chanzo Cha kuboronga maana unaitwa hadi Mungu we unaona sifa, na wananchi wa kawaida tunahitaji faraja sio unaropoka tu
 
Kwa taarifa yako hakuna mkataba unatiwa saini na nchi bila kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali
Mkataba wa Muungano haukupitia kwa mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (Walfong Dourado)mwka 1964.

Ulifanywa kinyemela kati ya Karume na Nyerere chini ya Wanasheria wa Upande mmoja uu wa Tanganyika .

Fifuut alitumiwa kama solicitor wa Karume wakati hakuwa na status yoyote Zanzibar.
 
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu hebu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais unafikiri ni Nani kafaidika na Nani kaliwa kichwa?

Watanzania nchi hii tunaiteketeza yaani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahindi tu? Na kuruhusu watu wapite mipakani halafu mama Atarudi tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara?

Rais kawakaribisha wakenya waje kulima tz Sasa najiuliza hio ziara alio enda Kenya kuomba tuuze mahindi kwao wakenya wakisha Anza kuvuna sijui Hao watanzania watamuuzia Nani yaani Kuna vitu mtu anafanya unajiuliza how

Yani Rais wetu hajamaliza migogoro ya Ardhi Tanzania Kuna watu wanauana ila kapanda ndege kwenda Kenya kuwaahid watu Ardhi

Tanzanian hii sijui Tunaenda wapi yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
 
Mnasema wakenya Wana makampuni 515 ndani ya Tanzania na yametoa ajira elfu 50.

Na watanzania wana makampuni 30 Kenya yaliyotoa ajira 2000 kwa wakenya.

Hapa watanzania hakuna usawa hata kidogo na hatuji kuaminiana kamwe. Mana hata Baba wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliwashindwa kwa janjajanja zao hizo.

Na ndo nimeelewa kwanini watanzania hawataki baadhi ya vipengere vya umoja wa jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwemo kumiliki ardhi nchi yoyote bila pingamizi.

Na kama mikataba yetu ya kodi haijakaa sawa kwa kweli sisi ni mkoa wa Kenya Cha msingi hapa watanzania nikupambana tupate wazawa wakuujenga uchumi wetu wenyewe.

Kwani hata mkoloni aliajiri lakini uchumi ulikwenda kujenga kwao sisi tulipewa ajira zisizo na manufaa. Mfano ni mgomo wa madereva wadangote ukiwasikiliza hoja zao utagundua ajira za wawekezaji wa tanzania ni manyanyaso tu kwa wazawa na nikwamba wanafanyia dhiki tu Ila si kumtoa kwenye hali duni.
 
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Mkuu sisi wa mipakani tumefurahi kidogo maana biashara ya mazao inatusaidia sana.
 
Kuna watanzania wengi wanaishi mipakani huko wanategemea biashara kati ya hizi nchi mbili maisha yao yasogee, wewe ukiona hakuna maana kuna wenzio wanaona maana ipo.

Kavuta wawekezaji toka Kenya waje kuwekeza hapa, unaweza pata ajira au hata ufanye biashara jirani na alipo muwekezaji (duka, babalishe etc) tulalamike kwa mambo ya msingi tu wandugu, sio yote.

Tumekuwa frustrated sana, tuwe na subira mambo hubadilika taratibu.
 
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Sukuma gang mnateseka sana
 
Sasa ona mahindi yaliyokua yamedoda kumbe mama kaenda jana, mpaka umefunguka hamna kikwazo. Hapo hujaona tija

Akiuza gesi nchini Kenya tatizo liko wapi?
Au jirani hauziwi anauziwa wa mbali?
Au amewaambia waje wavune gesi bure?

Hao wakenya hata wakitaka kununua maji ya bahari kwenye matenki mnaweza mkakataa kwa sababu ya mitazamo hasi,chuki na kutoelewa biashara

Mawazo hayo niyakina Shigela. Mama awapumzishe watu kama hao wasaidiwe wamezidiwa na chuki.

Unamchukiaje mtu asiyekudhulumu bali anafanya biashara na wewe?

Mama chapa kazi, kama kuna ulipokosea lakini sio kwenda Kenya
 
Yaani hizi chuki sijui mnazitoa wapi sijui. Sielewi kama ni za kuzaliwa nazo au mmejifunzia ukubwani.

We ulichoona hapo ni kuuza mahindi tu basi??

Tabu sana kama Taifa. Watu gani nyie kila kitu mnatazama negative tu aisee. Hebu badilikeni basi. Na hili tuliliona sana wakati uliopita mlijifunza kuishi na chuki kali sana mioyoni mwenu bahati yenu nzuri mlikuwa mmeshika mpini. Sasa mpini umechomoka ghafla kwenye kisu mmejikuta mmeshika makali bila kupenda. Tulieni au kisu kiwakate, choice is completely yours.

Hebu tulieni maisha yaendelee.
 
images (7).jpeg
safari ya kufuata hii juice ilikua na manufaa gani kwa wananchi walioko nanjilinji?
 
Utateseka sana na bado! Rudi kwenu Burundi mamluki mkubwa wewe. Mliichezea sana nchi yetu wetu nyie.
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
 
Kuna watanzania wengi wanaishi mipakani huko wanategemea biashara kati ya hizi nchi mbili maisha yao yasogee, wewe ukiona hakuna maana kuna wenzio wanaona maana ipo, bado kavuta wawekezaji toka Kenya waje kuwekeza hapa, unaweza pata ajira au hata ufanye biashara jirani na alipo muwekezaji (duka, babalishe etc) tulalamike kwa mambo ya msingi tu wandugu, sio yote.
Uwekezaji upi sasa? Ule ule wa kubadili jina kila baada ya miaka 4 kukwepa kodi baada ya kuvuna?

Nenda pale kwa Bakhresa na the like uone kazi za kawaida kabisa zilivyokamatwa na Wahindi, kisha Wakenya, kisha tunalalamika serikali itoe ajira.

Tengeneza mazingira bora kwa manufaa ya nchi kwanza, ukifungua milango, kila mtu aweze kupambania lake, sio hivi mnavyotaka kufanya.

Hakuna suala la tunachelewa. Tumewahi kuuza wanyama, madini, tumebinafsisha vitalu vya uwindaji, tumeuza gesi, viwanda vyote tukawapa wawekezaji n.k, NINI TUMEFAIDIKA? Katika utawala wa miaka 10, siku zinazotimiza miaka 4 taslimu, mkwere alikuwa nje ya Tz, tulifaidika na nini, chandarua?
 
Back
Top Bottom