mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Tunapeleka gas Kenya mkuu
Kwani gas yenyewe inasemaje🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapeleka gas Kenya mkuu
Kwani hata imelalamika basi? Waja tu na maneno yao? 🤣 🤣Kwani gas yenyewe inasemaje🙄🙄
Kwangu huyu mama ni bora zaidi kuliko mwendazake, hakuna hata mradi mkubwa wowote aliokamilisha zaidi ya kutia hasara taifa, maamuzi mabovu na ya kuumiza, sema mama hataki kusifiwa ndio chanzo Cha kuboronga maana unaitwa hadi Mungu we unaona sifa, na wananchi wa kawaida tunahitaji faraja sio unaropoka tuKinachonishangaza kwa herufi kubwa ni kwanini huyu mama anakubalika kwa kiwango hiki
na hawa wapinzani waliokua wanaichukia ccm kwa kiasi kile? kwanini? na kila hatua anayopiga
wapinzani wanapiga makofi na kufurahia,yani ni rahisi wa kwanza ambae wana ccm ndio tunamkosoa
na ni rais wa kwanza kutoka ccm ambae ni chaguo la upinzani,eti leo hii Mbowe ana hashtag #Samia2021-2030 kweliiiii?!!!?!?
natamani yote haya yawe ni ndoto,matamanio yangu ni mtu aniamshe aniambie Amka wewe,halafu nimsimulie nilichokua naota...
Waja waiache gas ijisemee😂😂😂Kwani hata imelalamika basi? Waja tu na maneno yao? 🤣 🤣
Mkataba wa Muungano haukupitia kwa mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (Walfong Dourado)mwka 1964.Kwa taarifa yako hakuna mkataba unatiwa saini na nchi bila kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali
Mkuu sisi wa mipakani tumefurahi kidogo maana biashara ya mazao inatusaidia sana.Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa
Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???
Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Sukuma gang mnateseka sanaHii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa
Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???
Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Hivi hata RC wa kunani nae ndio watu wa mang'ombe auSukuma gang mnateseka sana
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa
Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???
Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Uwekezaji upi sasa? Ule ule wa kubadili jina kila baada ya miaka 4 kukwepa kodi baada ya kuvuna?Kuna watanzania wengi wanaishi mipakani huko wanategemea biashara kati ya hizi nchi mbili maisha yao yasogee, wewe ukiona hakuna maana kuna wenzio wanaona maana ipo, bado kavuta wawekezaji toka Kenya waje kuwekeza hapa, unaweza pata ajira au hata ufanye biashara jirani na alipo muwekezaji (duka, babalishe etc) tulalamike kwa mambo ya msingi tu wandugu, sio yote.