Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Kajifunze kuandika kwanza. Kusoma na kuandika tu ni shida, halafu bado unaamini una uwezo wa kufanya analyis and assessment ya achievement ya Rais.

Kuna watu mnaharibu hadhi ya JF. JF ilitegemewa iwe ni mahali pa watu wenye uelewa na akili timamu, ambapo hata viongozi wanaweza kupata ushauri wa kujenga na hata ukosoaji wa kujenga. Lakini sasa wameingia watu wa kila aina, hata wasioelewa chochote.

Leo Mh. Samia na Uhuru wameongelea mambo mengi muhimu na ya maana sana yanayohusu namna ya kuyajenga mataifa haya mawili kwa kushirikiana badala ya kushindana, lakini mjinga alichosikia na kuelewa ni mahindi tu! Huyu hayupo kwenye jukwaa sahihi.
 
WEWE NAWE UACHE KUMNYANYASA MDADA WENU WA KAZI
 
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Rais kawakaribisha wakenya waje kulima tz Sasa najiuliza io ziara alio enda Kenya kuomba tuuze maindi kwao wakenya wakisha Anza kuvuna sijui Hao watanzania watamuuzia Nan yani Kuna vitu mtu anafanya unajiuliza how

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia

Wabongo bwana ni watu wa ajabu sana dah
Kuongoza Raia wa aina hii inabidi uwe na moyo wa chuma
 
Mimi nimemulewa Mama sana anajua Tanzania kwa sasa ajira ni kiduchu za kugombania

Akiifungua Nchi kwa Wawekezaji Ajira zitapatikana kwa wingi

Itakuwa rahisi kuweka Ugali mezani kuliko kile kipindi cha Mwendazake ambapo Kahawa na Mihogo ndio mchana mwema.
 
Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa

Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais Museven unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???

Rais kawakaribisha wakenya waje kulima tz Sasa najiuliza io ziara alio enda Kenya kuomba tuuze maindi kwao wakenya wakisha Anza kuvuna sijui Hao watanzania watamuuzia Nan yani Kuna vitu mtu anafanya unajiuliza how

Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Kiasi fulani mama kama naanza kutokuelewa hivi
 
Ccm miaka yote wamekuwa wakikaa madarakani kwa shuruti na kuonea vyama vya upinzani, mbona hutaki usawa kwenye upande huo?
 
..Magu aliwahi kwenda Afrika Kusini akapeleka kamusi za kiswahili.[emoji1787][emoji1787]

..ndio fursa aliyokwenda kutafuta South Africa.
Nimecheka Sana alienda Zambia pia akatoa kamus ya kiswahili hahaha

Lakn jamaa hakumbuki hili la serikal ilijaza mafuta ndege kwenda kuchukua dawa ya mitishamba ya korona na sijui iliishia wapi

KIPI BORA KUPELEKA KAMUSI NCHI ZA NJE AU KUUZA MAHINDI NJE YA NCHI
 
Na kuuza ardh pia
 
Unahangaika bure, kwani wewe mahindi yanayolimwa na maelfu ya wakulima unayachukuliaje?

Na wewe ulitakaje? Acha upumbavu wako wewe
 
Yaani hizi chuki sijui mnazitoa wapi sijui. Sielewi kama ni za kuzaliwa nazo au mmejifunzia ukubwani.

We ulichoona hapo ni kuuza mahindi tu basi??

Tabu sana kama Taifa. Watu gani nyie kila kitu mnatazama negative tu aisee. Hebu badilikeni basi. Na hili tuliliona sana wakati uliopita mlijifunza kuishi na chuki kali sana mioyoni mwenu bahati yenu nzuri mlikuwa mmeshika mpini. Sasa mpini umechomoka ghafla kwenye kisu mmejikuta mmeshika makali bila kupenda. Hebu tulieni maisha yaendelee.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wamekosa vyeo na hakuna nafasi ya mapambio na mama anaenda opp na mwendazake
 
Uwekezaji upi sasa? Ule ule wa kubadili jina kila baada ya miaka 4 kukwepa kodi baada ya kuvuna?

Nenda pale kwa Bakhresa na the like uone kazi za kawaida kabisa zilivyokamatwa na Wahindi, kisha Wakenya, kisha tunalalamika serikali itoe ajira.

Tengeneza mazingira bora kwa manufaa ya nchi kwanza, ukifungua milango, kila mtu aweze kupambania lake, sio hivi mnavyotaka kufanya.

Hakuna suala la tunachelewa. Tumewahi kuuza wanyama, madini, tumebinafsisha vitalu vya uwindaji, tumeuza gesi, viwanda vyote tukawapa wawekezaji n.k, NINI TUMEFAIDIKA? Katika utawala wa miaka 10, siku zinazotimiza miaka 4 taslimu, mkwere alikuwa nje ya Tz, tulifaidika na nini, chandarua?
Nyie wakati mnachoma vifaranga na kula rambirambi na kusafiri Rwanda na Malawi mlitufaidisha na nini?
 
Magufuli was super bana, vitu vidogo kama hivi avifate kenya? Angepiga simu moja tu wasipotaka waache.watanunua wengine au sisi tutakula wenyewe kwani sh ngapi basii??

Ila jpm alikuwa chuma aisee
Mbwa kama nyie ndio mumetutia hasara kwa sababu mnakula salary kwa jasho letu, pumbavu nyie
 
tatizo si kuwa chuma. hata ww unaeza kuwa chuma.. ila urais si kumaga kampuni.. unamanage 60mil people na resources ziwatoshe.
kula maindi kutaleta maendeleo gani?
Hamna kitu hapo.hii issue ya mahindi ni ndogo sana ukilinganisha na mambo makubwa anayotakiwa kufanya kwa sasa. Kwanza hakutakiwa kwenda kama aliona ni la muhimu sana ilibidi amtume hata waziri.

Lazima aangalie mambo makubwa yenye kuleta maendeleo, issue ya mahindi ni minor kabisa.
 
..Magu aliwahi kwenda Afrika Kusini akapeleka kamusi za kiswahili.[emoji1787][emoji1787]

..ndio fursa aliyokwenda kutafuta South Africa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yule jamaa alikuwa ni kiazi hajui kutengeneza fursa kwa watu wake ,alikalia Tzn ni tajiri kwa hiyo?
 
Hamna kitu hapo.hii issue ya mahindi ni ndogo sana ukilinganisha na mambo makubwa anayotakiwa kufanya kwa sasa. Kwanza hakutakiwa kwenda kama aliona ni la muhimu sana ilibidi amtume hata waziri.

Lazima aangalie mambo makubwa yenye kuleta maendeleo, issue ya mahindi ni minor kabisa.

Kenya tunaitegemea zaidi kwenye soko la Nafaka, mahindi yakiwepo
 
Back
Top Bottom