Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kajifunze kuandika kwanza. Kusoma na kuandika tu ni shida, halafu bado unaamini una uwezo wa kufanya analyis and assessment ya achievement ya Rais.

Kuna watu mnaharibu hadhi ya JF. JF ilitegemewa iwe ni mahali pa watu wenye uelewa na akili timamu, ambapo hata viongozi wanaweza kupata ushauri wa kujenga na hata ukosoaji wa kujenga. Lakini sasa wameingia watu wa kila aina, hata wasioelewa chochote.

Leo Mh. Samia na Uhuru wameongelea mambo mengi muhimu na ya maana sana yanayohusu namna ya kuyajenga mataifa haya mawili kwa kushirikiana badala ya kushindana, lakini mjinga alichosikia na kuelewa ni mahindi tu! Huyu hayupo kwenye jukwaa sahihi.
 
WEWE NAWE UACHE KUMNYANYASA MDADA WENU WA KAZI
 

Wabongo bwana ni watu wa ajabu sana dah
Kuongoza Raia wa aina hii inabidi uwe na moyo wa chuma
 
Mimi nimemulewa Mama sana anajua Tanzania kwa sasa ajira ni kiduchu za kugombania

Akiifungua Nchi kwa Wawekezaji Ajira zitapatikana kwa wingi

Itakuwa rahisi kuweka Ugali mezani kuliko kile kipindi cha Mwendazake ambapo Kahawa na Mihogo ndio mchana mwema.
 
Kiasi fulani mama kama naanza kutokuelewa hivi
 
Ccm miaka yote wamekuwa wakikaa madarakani kwa shuruti na kuonea vyama vya upinzani, mbona hutaki usawa kwenye upande huo?
 
..Magu aliwahi kwenda Afrika Kusini akapeleka kamusi za kiswahili.[emoji1787][emoji1787]

..ndio fursa aliyokwenda kutafuta South Africa.
Nimecheka Sana alienda Zambia pia akatoa kamus ya kiswahili hahaha

Lakn jamaa hakumbuki hili la serikal ilijaza mafuta ndege kwenda kuchukua dawa ya mitishamba ya korona na sijui iliishia wapi

KIPI BORA KUPELEKA KAMUSI NCHI ZA NJE AU KUUZA MAHINDI NJE YA NCHI
 
Na kuuza ardh pia
 
Unahangaika bure, kwani wewe mahindi yanayolimwa na maelfu ya wakulima unayachukuliaje?

Na wewe ulitakaje? Acha upumbavu wako wewe
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wamekosa vyeo na hakuna nafasi ya mapambio na mama anaenda opp na mwendazake
 
Nyie wakati mnachoma vifaranga na kula rambirambi na kusafiri Rwanda na Malawi mlitufaidisha na nini?
 
Magufuli was super bana, vitu vidogo kama hivi avifate kenya? Angepiga simu moja tu wasipotaka waache.watanunua wengine au sisi tutakula wenyewe kwani sh ngapi basii??

Ila jpm alikuwa chuma aisee
Mbwa kama nyie ndio mumetutia hasara kwa sababu mnakula salary kwa jasho letu, pumbavu nyie
 
tatizo si kuwa chuma. hata ww unaeza kuwa chuma.. ila urais si kumaga kampuni.. unamanage 60mil people na resources ziwatoshe.
kula maindi kutaleta maendeleo gani?
Hamna kitu hapo.hii issue ya mahindi ni ndogo sana ukilinganisha na mambo makubwa anayotakiwa kufanya kwa sasa. Kwanza hakutakiwa kwenda kama aliona ni la muhimu sana ilibidi amtume hata waziri.

Lazima aangalie mambo makubwa yenye kuleta maendeleo, issue ya mahindi ni minor kabisa.
 
..Magu aliwahi kwenda Afrika Kusini akapeleka kamusi za kiswahili.[emoji1787][emoji1787]

..ndio fursa aliyokwenda kutafuta South Africa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yule jamaa alikuwa ni kiazi hajui kutengeneza fursa kwa watu wake ,alikalia Tzn ni tajiri kwa hiyo?
 

Kenya tunaitegemea zaidi kwenye soko la Nafaka, mahindi yakiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…