Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mambo yapi yataje hapa
 
 
Kwenye ardhi siyo pakuendea papara! Wasifikiriea Hayati Samweli Sitta alikuwa mjinga kuzuia hii kitu akiwa waziri.
 
Kwani Kuna wakenya wangap wanaish mipakan kwao uko na wala serikal yao haijal na imesubir mpaka sis tuingie kichwa kichwa
 
Hapa nimegundua Watanzania wenzangu kama mleta mada hapa ni wavivu kufuatilia mambo.
Yaani wanafuatilia headline ya maandishi matatu kutoka kurasa ya FB ya Millard Ayo kisha wanaandika ujinga kama huu kwenye jukwaa la great thinkers.

Nimefuatilia ziara ya Rais toka inaanza kiukweli kulikuwa na mijadala ya namna ya kuboresha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizi mbili. Awali wadau mbalimbali kutoka Kenya na Tanzania walitema madini mazito kabla ya Marais kufika kwenye ukumbi.

Pia mengi yamejadiliwa ambayo yakifanyiwa kazi yatatupeleka kwenye tija kiuchumi zaidi ya anacholeta huyu jamaa kwenye bandiko ambaye anaonekana hakufuatilia chochote zaidi ya kusoma kipeperushi cha Millard Ayo.

Let's discuss things critically. Mleta bandiko huna lolote
 
Tuambie lingine ulilo sikia wewe tofaut na mahindi na mipaka?
 
wamezowea ukatili wa kuchoma moto vifaranga kutoka kenya hawa wana roho chafu
 
Hizi mada za kupinga hazitamwangusha Mama....ni ushabiki wa kitoto.
 
Magufuli alituwezesha kuuza nini?
 
kwamba kabla hajaenda haku consider hilo? aliamka tu na kukurupuka kwenda?
Rais hafanyi maamuzi mwenyewe.. ana team ya advisior wake wakiwa na mawaziri ndani yake.
 
Nonsense!

Chuki na ushamba itakuua we chawa wa jiwe.

Kubali tu kwamba tuna uongozi mpya wa mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan. Kiongozi shupavu na mwerevu.

Mungu mbariki mama yetu.

HAKI HUINUA TAIFA
 
Binafsi nimefurahi,mahindi yanaoza kwenye maghala.... Kipindi hiki cha mavuno ya mahindi...hamna bei,hailipi kabisaa....tsh 30,000/100kg.. Ahsante mama
 
Tuwaulize mliogeuka pinga pinga waenzi hizi mnaelekea walk,mnakwama wapi,tuanzie happy kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…