Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hawa watu siamini kama ni watanzaniaNa mipaka iko wazi Mkuu nyambafu sana hao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu siamini kama ni watanzaniaNa mipaka iko wazi Mkuu nyambafu sana hao...
Wewe hayo ni mahaba au mapenzi ,unakumbuka nini sasa na ni juzi tuuKwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Mungu fundi kweri-kweriUfe ww usiekuwa na Maana
Mkuu Hivi unangalia Play off ya NBA kwa Sasa Maana najua Siasa unaforce Tu [emoji1][emoji1]
Safi Sana Mkuu komaa na Maisha Yako na Vijana Wako Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasasa mkuu siangalii kuna majukumu yamenibana kidogo, nipo porini
Mataga hawakumsikia Uhuru kuwa no work permit in Kenya.Na mipaka iko wazi Mkuu nyambafu sana hao...
Mungu fundi kweri-kweri
Ndiyo Ukweli WenyewePole sana dogo! Tafuta pesa achana na watu waliokwishakufa
Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
🤣🤣🤣 jamaa ana uchunguNaona umechungulia jina laki katika orodha ya Ma-DC wapya hukuona jina lako, lazma umkumbuke shujaa[emoji23]
Kama ulikuwa mnufaika leo njaa utashindwa kumkumbuka mtu aliyepangiwa majukumu mengine na Mola wake.Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Ila Ww Jamaa fala Sana ww [emoji1][emoji1][emoji1]Naona umechungulia jina laki katika orodha ya Ma-DC wapya hukuona jina lako, lazma umkumbuke shujaa[emoji23]
Kama umemmis si umfuate maku weweKwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Kwaiyo kachoma mafuta bure? Kuongelea mahindi au kuna vitu vingine sio kwa faida ya PUBLIC?😀😀😀 yaani Rais wetu aalikwe na rais wa Kenya ili waongee mambo kadhaa ya kuboresha maisha ya wananchi wa nchi zote mbili (Uhuru anaangalia upande wake, Samia anaangalia upande wetu na kunakuwa na vuta'nikuvute kama ilivyo kawaida ya majadiliano ya kibiashara) na mwishowe nia ni kila mmoja apeleke maboresho kwa wanachi wake, ila tunachopokea ni 'mahindi' 😀😀😀.
Hatujasikia COVID, hatujasikia tutafute njia ya kushirikiana kunufaika na utalii nchi zote mbili, hatujasikia ujenzi wa barabara kuunganisha nchi hizi mbili, hatujasikia gesi wala kwamba watanzania waalikwe kufanya biashara bila vibali, nk. Tumesikia tu 'mahindi' 😀😀😀
Kwa hiyo leo tunatakiwa kujifunza kuwa Samia amealikwa Kenya na kuongea na wafanyabiashara na wabunge wa pande zote mbili kuongelea mahindi au alichofanikiwa ni kufungulia mahindi pekee? daaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha mchwa waendelee kufaidi kitoweo...