Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Wewe hayo ni mahaba au mapenzi ,unakumbuka nini sasa na ni juzi tuu
 
Ukiwa Na Chakula Chako Kitamu Huwezi Kumpa Mtoto Wa Jirani Utampa Mwanao Kwanza.
JPM
 
Yapi hayo sasa? Maana yanayoendelea ni mengi sasa ni yapi yameenda visivyo mkuu? Toa uzi ulioshiba kiongozi
Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Kwa Haya ninayoyaona Yanaendelea Sasa Hapa Nchini Kwetu Naanza kukumbuka Kauli ya Hayati JPJM Kwamba Tutakukumbuka Sana [emoji31][emoji31][emoji31]
Kama ulikuwa mnufaika leo njaa utashindwa kumkumbuka mtu aliyepangiwa majukumu mengine na Mola wake.
 
😀😀😀 yaani Rais wetu aalikwe na rais wa Kenya ili waongee mambo kadhaa ya kuboresha maisha ya wananchi wa nchi zote mbili (Uhuru anaangalia upande wake, Samia anaangalia upande wetu na kunakuwa na vuta'nikuvute kama ilivyo kawaida ya majadiliano ya kibiashara) na mwishowe nia ni kila mmoja apeleke maboresho kwa wanachi wake, ila tunachopokea ni 'mahindi' 😀😀😀.

Hatujasikia COVID, hatujasikia tutafute njia ya kushirikiana kunufaika na utalii nchi zote mbili, hatujasikia ujenzi wa barabara kuunganisha nchi hizi mbili, hatujasikia gesi wala kwamba watanzania waalikwe kufanya biashara bila vibali, nk. Tumesikia tu 'mahindi' 😀😀😀

Kwa hiyo leo tunatakiwa kujifunza kuwa Samia amealikwa Kenya na kuongea na wafanyabiashara na wabunge wa pande zote mbili kuongelea mahindi au alichofanikiwa ni kufungulia mahindi pekee? daaah.
Kwaiyo kachoma mafuta bure? Kuongelea mahindi au kuna vitu vingine sio kwa faida ya PUBLIC?
 
Kumi tena kwa mama nchi inasonga, tunajenga diplomasia iliyokufa.Wakenya, Wacomoro,wazimbabwe wajae kariakoo,wajae minadani vijijini walete pesa vijijini watu wajenge nyumba za kisasa waishi.Maisha ni leo sio kesho.
 
Back
Top Bottom