"Chai ya Asubuhi"
Itafakari hii katuni kutoka Kenya Kisha jiulize Mambo yajayo.
📌Leo tunamsikia Rostam Azizi mtanzania na mfanyabiashara mkubwa pia aliwahi kuwa Mbunge.
✳️ Rostam Azizi, anasema, Mtanzania sio Kazi nyepesi kuwekeza Kenya kama tunavyofikili.
📌 Mtanzania ni kweli hawezi wekeza Kenya kwakua mazingira sio Rafiki , ila kwa mkenya mazingira ni Rafiki kuwekeza Tanzania 🇹🇿 kwakua hatuna sheria zinazosimamiwa kikamilifu juu ya Archi yetu na lasilimali zetu hivyo kila mtu akija anajimegea tu shamba kubwa analima Kisha anaenda kuuza Kenya 🇰🇪.
📌 Mtanzania mkulima hawezi kupata Ardhi ya kulima Kenya, ndio maana wafanyabiashara wa Kenya walienda kumuona Rais wa Kenya juu ya mazao waliolima morogoro na kuwekeza fedha nyingi , na walichukua mikopo Kenya KCB bank, sasa watalipaje mikopo?
📌Hiki ndicho kimemfanya uhuru kutaka suluhu juu ya ya biashara za mazao na usafrishaji ikiwemo watalii maana magari mengi ya watalii kutoka Kenya yamepaki tu.
📌Sasa Tanzania inademka Sana kwa kisingizio Cha udugu kwamba sasa kuna uhuru na suruhu Katika Nchi hizo mbili kitu ambacho sio kweli unyanyasaji huu Samia hauwezi kuumaliza ikiwa Hata Nyerere alishindwa kuumaliza baada ya Kenya kujimilikisha mali za East Africa community, ikiwemo Ndege na majengo , Lakin Kenya walishahau kwamba Tanzania kuna kila kitu na Kenya ilifanywa sehemu ya Starehe tu na wakoloni lakani hawana Kitu.
📌Ni jambo jema kutafuta Fursa za Kazi kwa watanzania na kushirikiana na watu wenye tija zaidi ikiwemo Congo , malawi Uganda , Rwanda , Sudan, zambia na msumbiji, kuliko kung'ang'na na Kenya ambao sio waungwana Hata kidogo.
📌Msimuone Nyerere au Magufuli mbaya juu ya Kenya hapana wao wametutenda mengi ya hovyo ambayo ni lazima kuyatatua kwanza ndio mambo mengine yaendelee.
📌Rais anaposema ni wanasiasa wachache ambao wanakosoa juu ya suruhu hizi anakosea Tena anakosea Hata hao watangulizi wake akiwemo Nyerere .
📌Leo hii Nyerere au Magufuli wangekuwepo Gesi isiingeenda Kenya
📌 Jitafakali kabla.