Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Chai ya Asubuhi"
⏩Itafakari hii katuni kutoka Kenya Kisha jiulize Mambo yajayo.
📌Leo tunamsikia Rostam Azizi mtanzania na mfanyabiashara mkubwa pia aliwahi kua Mbunge.
✳️ Rostam Azizi, anasema,mtanzania sio Kazi nyepesi kuwekeza Kenya kama tunavyofikili.
📌 Mtanzania ni kweli hawezi wekeza Kenya kwakua mazingira sio Rafiki , ila kwa mkenya mazingira Ni Rafiki kuwekeza Tanzania 🇹🇿 kwakua hatuna sheria zinazosimamiwa kikamilifu juu ya Archi yetu na lasilimali zetu hivyo kila mtu akija anajimegea tu shamba kubwa analima Kisha anaenda kuuza Kenya 🇰🇪.
📌 Mtanzania mkulima hawezi kupata Ardhi ya kulima Kenya, ndio maana wafanyabiashara wa Kenya walienda kumuona Rais wa Kenya juu ya mazao waliolima morogoro na kuwekeza fedha nyingi , na walichukua mikopo Kenya KCB bank, sasa watalipaje mikopo?
📌Hiki ndicho kimemfanya uhuru kutaka suruhu juu ya ya biashara za mazao na usafrishaji ikiwemo watalii maana magari mengi ya watalii kutoka Kenya yamepaki tu.
📌Sasa Tanzania inademka Sana kwa kisingizio Cha udugu kwamba sasa kuna uhuru na suruhu Katika Nchi hizo mbili kitu ambacho sio kweli unyanyasaji huu Samia hauwezi kuumaliza ikiwa Hata Nyerere alishindwa kuumaliza baada ya Kenya kujimilikisha mali za East Africa community, ikiwemo Ndege na majengo , Lakin Kenya walishahau kwamba Tanzania kuna kila kitu na Kenya ilifanywa sehemu ya Starehe tu na wakoloni lakani hawana Kitu.
📌Ni jambo jema kutafuta Fursa za Kazi kwa watanzania na kushirikiana na watu wenye tija zaidi ikiwemo Congo , malawi Uganda , Rwanda , Sudan, zambia na msumbiji, kuliko kung'ang'na na Kenya ambao sio waungwana Hata kidogo
📌Msimuone Nyerere au Magufuli mbaya juu ya Kenya hapana wao wametutenda mengi ya hovyo ambayo ni lazima kuyatatua kwanza ndio mambo mengine yaendelee.
📌Rais anaposema ni wanasiasa wachache ambao wanakosoa juu ya suruhu hizi anakosea Tena anakosea Hata hao watangulizi wake akiwemo Nyerere .
📌Leo hii Nyerere au Magufuli wangekuwepo Gesi isiingeenda Kenya
📌 Jitafakali kabla.
Ngumu Sana hiyo unataka ccm wakose sehemu ya kupigoa miamalaTena ikiwezekana zile Ndege azikodishe ili Serikali yake Samia isijiingize kwenye Biashara ila itoe huduma za jamii tu
Ikiwezekana afungulie kampuni Binafsi zije kushindana na Tanesco kwenye soko la Nishati
Mbona Mkapa aliruhusu Makampuni ya Simu Binafsi Mama anatakiwa kuwakomalia CCM ulafi wao ni too much.Ngumu Sana hiyo unataka ccm wakose sehemu ya kupigoa miamala
Kwani yeye hajui kilichomsibu mwenzake mpaka athubutu kuwakomalia?Mbona Mkapa aliruhusu Makampuni ya Simu Binafsi Mama anatakiwa kuwakomalia CCM ulafi wao ni too much.
Mwenzake aliikomalia Covid ikampiga dhoruba.Kwani yeye hajui kilichomsibu mwenzake mpaka athubutu kuwakomalia?
Dah niseme tu na hao wakongoman huwajui. Wana vijitabia vya ajabu, dharau na roho mbaya utadhani wanakaanga sumu."Chai ya Asubuhi"
Itafakari hii katuni kutoka Kenya Kisha jiulize Mambo yajayo.
📌Leo tunamsikia Rostam Azizi mtanzania na mfanyabiashara mkubwa pia aliwahi kuwa Mbunge.
✳️ Rostam Azizi, anasema, Mtanzania sio Kazi nyepesi kuwekeza Kenya kama tunavyofikili.
📌 Mtanzania ni kweli hawezi wekeza Kenya kwakua mazingira sio Rafiki , ila kwa mkenya mazingira ni Rafiki kuwekeza Tanzania 🇹🇿 kwakua hatuna sheria zinazosimamiwa kikamilifu juu ya Archi yetu na lasilimali zetu hivyo kila mtu akija anajimegea tu shamba kubwa analima Kisha anaenda kuuza Kenya 🇰🇪.
📌 Mtanzania mkulima hawezi kupata Ardhi ya kulima Kenya, ndio maana wafanyabiashara wa Kenya walienda kumuona Rais wa Kenya juu ya mazao waliolima morogoro na kuwekeza fedha nyingi , na walichukua mikopo Kenya KCB bank, sasa watalipaje mikopo?
📌Hiki ndicho kimemfanya uhuru kutaka suluhu juu ya ya biashara za mazao na usafrishaji ikiwemo watalii maana magari mengi ya watalii kutoka Kenya yamepaki tu.
📌Sasa Tanzania inademka Sana kwa kisingizio Cha udugu kwamba sasa kuna uhuru na suruhu Katika Nchi hizo mbili kitu ambacho sio kweli unyanyasaji huu Samia hauwezi kuumaliza ikiwa Hata Nyerere alishindwa kuumaliza baada ya Kenya kujimilikisha mali za East Africa community, ikiwemo Ndege na majengo , Lakin Kenya walishahau kwamba Tanzania kuna kila kitu na Kenya ilifanywa sehemu ya Starehe tu na wakoloni lakani hawana Kitu.
📌Ni jambo jema kutafuta Fursa za Kazi kwa watanzania na kushirikiana na watu wenye tija zaidi ikiwemo Congo , malawi Uganda , Rwanda , Sudan, zambia na msumbiji, kuliko kung'ang'na na Kenya ambao sio waungwana Hata kidogo.
📌Msimuone Nyerere au Magufuli mbaya juu ya Kenya hapana wao wametutenda mengi ya hovyo ambayo ni lazima kuyatatua kwanza ndio mambo mengine yaendelee.
📌Rais anaposema ni wanasiasa wachache ambao wanakosoa juu ya suruhu hizi anakosea Tena anakosea Hata hao watangulizi wake akiwemo Nyerere .
📌Leo hii Nyerere au Magufuli wangekuwepo Gesi isiingeenda Kenya
📌 Jitafakali kabla.
Muulize Kaka Majaliwa atakwambia ukweliMwenzake aliikomalia Covid ikampiga dhoruba.
kutoka kenya sio?Rostam hawezi kutesa yeye peke yake kwanza makampuni yake kawajaza Wabulushi.
Kampuni yake ya Caspian wafagiaji tu ndio Wenyeji lakini posti nyingine zote ni jamaa zake
Wacha waje Matajiri wa Nje watupe Ajira za uhakika
Kutoka Kenya na Duniani kote sasa wewe kushinda kwenye Kahawa ni maisha hayokutoka kenya sio?
Poverty mentality. Typical poor african thinkingSote tunafahamu ukiwa unafanya kazi wa tajiri ukitaka akupende hakikisha kuwa haujionyeshi kutaka kujinasua kutoka kwenye makucha
Tajiri atahakikisha kwamba unamnyenyekea na hatapenda kusikia unataka kujitegemea maana furaha ya Tajiri ni umasikini wako
ukiona tajiri anaanza kukutengenezea fitina jua kuwa unataka kujinasua kwenye makucha yake
Hamna watu nuksi kama wahindi kwanza wanaanza na strategy yao kuu yq divide and rule kwa maana kila mtu anakuwa adui wa mwenzake, anakufanya ujione bora kwake ili usnitch maovu ya mwezako. Na ukibadilisha life style kidogo ndio mwisho wa kazi hapoSote tunafahamu ukiwa unafanya kazi wa tajiri ukitaka akupende hakikisha kuwa haujionyeshi kutaka kujinasua kutoka kwenye makucha