Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama kipind cha hayati mlivokua mna praise na ku worship all day 🤣🤣 hata kama alikua wrong, slogan ni praise and worship. Na bado mtanyooka tu, shubaaamiiit!!
 
Leo hii mnamtukana na kumsema Mama kwa uhuru kabisa lakini hatusikii watu wakikamatwa wala kutekwa nyakati fulani Mzee watu waliogopa kumsema kwa kuogopa kukamatwa na kutekwa......ukitaka kumsema lazima uangalie nyuma mbele, kushoto kulia ndio uanze kubwabwaja, lakini leo mko huru humu kubwabwaja...

Kuna ID zilipotea kabisa humu JF kwa woga na nyingine mpaka leo hazijarudi hatujui kama wapo hai au vipi....
 
🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, shubaaamiiit!!
 
Mkuu lengo lako hasa nini, mbn kama umetumwa uvuruge chama na serikali kwa ujumla? Ulianza na JK na familia yake, leo umehamia kwa mama, kesho hatujui utarukia kwa nani na kwa masilahi ya nani na pia unapata faida gani!!
Ametumia uhuru wake wa kujieleza.
Katika bandiko lake sijaona chochote cha kuvuruga.

Ukiona hili bandiko linakuvuruga basi wewe ndie mwenye shida.
 
🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, shubaaamiiit!!
😂😂😂 mtanyooka nyinyi mnao pambana na marehemu, aliewaita nyumbu aliona mbali sana, yani mnaanzaje kutumia nguvu kupambana na mtu alie kufa.

Lakini tunawa ungamkono kwa jinsi mnavyo tusaidia kumpamba mamayetu ili atakeleze ilani ya CCM bila bugza karibuni sana watoto wa mama.
 
Nchi ilishakuwa kama chimbo la wanyang'anyi na madhalimu...
Wapambe walishajipa haki miliki kuwa wao ndio raia kuliko wengine huku wakimsifu hata kukufuru ili mradi yao yatimizwe... safari imeishia njiani wamepagawa na sasa wanaweweseka washapoteza mwelekeo...
Kweli Mungu fundi
 
povu la nini. kuna quote ya kingereza " dead men tell no tales"
hata hujaelewa.. na huijui. kwanza tafuta maana yake.

pili sipambani na legacy ya mtu. legacy ipo na itazidi kuwepo. itajitetea yenyewe sio kutetewa
 
Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma

Nawasilisha
Ni akina Nani happy wanaohitaji faraja?! Una maana ya walioghushi vyeti, majambazi,wezi wa Mali za umma, vikaragosi wa mabeberu, wasaliti, wauza unga,?!
 
Mkuu anawezaje kutafuta kazi ilhali alizoea kuishi kwa majungu na fitna?
Anachokisahau ni kuwa Mama ndiye rais JMT na yeye na wenye fikra mfu kama zake ni MAKAPUKU TU NA VIBARAKA UCHWARA.
Nadhani huyu ndiye miongoni mwa wale vikaragosi waliotumika kupoteza watu kwa jina la wasiojulikana yawezekana malipo yamekata ghafla baada ya badiliko...
 
Kamfuate Jiwe umbusu kwa mahaba tele huko anakooza shenzi
 
Mbegu mnayoipanda tunakoendea mtakuja kuanzisha vikundi vya kigaidi na kusumbua watu na mentality zenu za kitumwa na akili zilizojazwa propaganda...
Unamawazo mafupi mno mkuu, Endelea Kunywa mbege, wewe unaishi wapi?

Umewahi kuona wapi joto la humu limekuwa moja Kwa moja Kwa watu wanapokutana?

Tanzania mbona Raha wewe...!
 
Wewe na genge lenu ndio mnaingia chaka.
 
Kaufukueni mzoga wenu muusimike Tena umalizie awamu yake
Pole mkuu, tunajua uliumizwa sana

kutengeneza kwa siku 3million mara mzoga ukakufanya utengeneze elfu 3 kwa siku si mchezo

Kama ulikuwa clean, unaingiza kipato bila shida, wala hauna janja janja, JPM alipendeka

sasa hata unikasirikia,mzoga umelala na sina namna ya kukurudishia upate 3m kwa siku

Utakasirika mpaka unakufa, Mwamba ule mtausema kila siku mpaka kushtuka usingizini

Nikaumbie kitu?

Forever anabaki shujaa kwangu!!!

inauma hee ....jizabe kibao
 
Mpeni Muda Huyu Mama Wa Watu Hivi mnajua mateso watu wamepitia nchi hii??? Mnajua manyanyaso tuliyofanyiwa nyie?? Muacheni huyu mama...Nyie tulieni saiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…