Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Watu kama wanamkumbuka Magufuli vile..... ila basi tu wafanyenini. Yaliyotokea yametokea
 
Hatukujua kama msiba huu utawacha msibani jamani!

Kwani ni kweli hamuwezi kuishi bila mjomba wenu?
 
Hahahaha si mlisema hakuna kiongozi mwingine atakuja kuwepo Kama mwendazake? Hata mkampa utukufu asioustahili? Pumbavu kabisa
 
Huyo aliyekuwa anaita watu wanyonge halafu yeye kazungukwa na mitutu na magari lundo yamemzunguka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

 
Yule malaika ambaye alikuwa hasikii la mtu ndo amekuwa wa kutolea mfano, mama kaingia tu tayari ameshateua watu wa kumshauri jambo ambalo linaonyesha yupo tayari kusikiliza ushauri wa watu mbalimbali kabla hajafanya maamuzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…