Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Watu kama wanamkumbuka Magufuli vile..... ila basi tu wafanyenini. Yaliyotokea yametokea
 
Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...
Hatukujua kama msiba huu utawacha msibani jamani!

Kwani ni kweli hamuwezi kuishi bila mjomba wenu?
 
Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka..
Hahahaha si mlisema hakuna kiongozi mwingine atakuja kuwepo Kama mwendazake? Hata mkampa utukufu asioustahili? Pumbavu kabisa
 
Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...
Huyo aliyekuwa anaita watu wanyonge halafu yeye kazungukwa na mitutu na magari lundo yamemzunguka.
 
Yani aje yupi mwingine? Tatizo mmezoea dezo, the universe is a wicked place, it's a gang world, there is no place for the innocent.

Keep on playing innocent mtakoma mlizoea kujinyongesha mnanunuliwa mapapai tu. Watu tunahitaji zaidi ya mapapai na mahindi ya kuchoma.

Alisema tutahama mjini na hatujahama na mlifurahia sana , sasa nanyi mtahama mjini. Zamu yenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Yule malaika ambaye alikuwa hasikii la mtu ndo amekuwa wa kutolea mfano, mama kaingia tu tayari ameshateua watu wa kumshauri jambo ambalo linaonyesha yupo tayari kusikiliza ushauri wa watu mbalimbali kabla hajafanya maamuzi....
 
Back
Top Bottom