Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?
 
Watu wote waliotendwa n Sabaya wameenda inbox...
Wanamwaga urojo wote.

Baa na Clubs alizodhulumu kwa kula na kunywa kibabe na kutolipa wako kwenye follen wanatoa ripoti na ushahidi-Ni wengi aisee...!

Arusha?
Moshi?Hai?Duh.

Nakunlmbuka mawaziri wawili walifungwa kwa kutumia Madaraka yao vibaya...

Kwa ushahidi ulioko kwa Huyu jamaa wala Judge hasumbui kalamu yake kwa kuandika sana...!
 
Mama umewashika pabaya ,kazia hapo hapo ,lazima tutaelewana tu,taifa haliwezi kuongozwa na wahuni kama Sabaya na wengineo wote wenye tabia kama zake.
 
Hivi hii kanuni uliyoitumia hapa unaielewa? Isome critically siyo kukariri. Ndiyo maana ili kupata facts za evidence Rais kaagiza uchunguzi. Rais angeweza kutengua kabisa uteuzi wake ila kwa kufuata misingi ya haki na utawala bora kaagiza uchunguzi.

Huwezi kuchunguzwa halafu uko ofisini. Halafu heshimu taasisi ya Rais.
 
Huitaji hata Certificate kutoka chuo cha Zion ili uweze kutambua kwamba huyu jamaa yenu ni takataka na hapaswi kuwa kiongozi..ilibidi awe ni mboga ya wanyampala muda huu.
 
Shida ni mwanamke,wanawake wengi akili yao wameikita kwenye majungu na uzandiki
 
Hizi kauli yule mwingine wakati anatumbua watu hovyo hadi wengine wakafariki kwa majakamoyo mlikuwa mnamwambia au kumuanzishia nyuzi za aina hii!?
 
Wewe ungekuwa na akili timamu ungefahamu DPP kuna watu wengi amewasekwa rumande bila dhamana kwa maneno ya kusikia tu bila ushahidi wowote huku familia zao zikisambaratika bila kujua hatma za watu wao

Sponsor wako ametenguliwa tu kutoka ofisini ndio unapiga mayowe yote haya kama mjusi aliyebanwa mkia na mlango.
 
Walioko magerezani kwa kesi ambazo hazi kichwa wala miguu ,walifikaje pale ?na wapo ambao hadi leo wapo lupango kwa amri ya huyu kibaka Mama aliemsimamisha ,kwanza mama ana huruma saaana ,huyu alistahili afukuzwe na si kusimamishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…