Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.
Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.
Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?
Watanzania tujitafakari sana.