Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
Binafsi nashauri uhame nchi kama umeumia sana, Jiwe is no more, gereza liko wazi sepa zako acha kuwa mtumwa wa kujitakia
 
Mama mwenye nyumba anashikwa masikio mitandaoni kwa masilahi ya kundi fulani. Wakati anaingia alitaka kubalance viongozi wake kwa uwiano sawa kati ya wavaa vibarakashia na wale wa misaraba. Hili swala liliwashitua sana wavaa misaraba kwan ni kitu ambacho hawakukitarajia wala kukizoea. Wakaingia mitandaoni na baada ya hapo mama akarudi kule kule kwa wenye misaraba 10 au 15 huku vibarakashia wakiwa 1 au 2 ktk teuzi zake. Sasa hivi kuna kundi lingine ambalo linapigania masilahi na uhai wa chama chao mitandaoni, mama mwenye nyumba ameonekana kuwaelewa na kufanya yale wanayoyataka. Yetu macho wengine tunachangia tu lkn hatuna cha kupoteza.
Cha kupoteza unacho, na bado vipo vingi vitapotea, wew kaa kwa kutulia usikilizie tu. Yaani mimi siku bashite naye akichunguzwa ntakuwa na raha sana
 
.
20210514_173958.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Aisee wewe ni mpuuzi kweli.
wakati wa Jiwe alikuwa anademka tu katikati ya mkutano wamama wakiwa wananengua anawauliza"nimtumbue nisimtumbue ?"mtumbueeeeeee!anamtumbua kweli,hakuna cha uchunguzi wala nini

Sasa mama kamsimamisha kazi Kwa uchunguzi,na huo ndio utaratibu mzuri wa kiuongozi na kiutumishi.
Funza Kama wewe unalalamika Wakati Jiwe ulikuwa unaona sawa
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
Hiki unachohubiri kilikuwa kinafanyika kipindi kile ..hivi sasa hicho hakipo ndio maana kunafanyika uchunguzi.
Tafuta ajenda nyingine.
 
Heh, usenge tena!? Kama wamefilisiwa kwa mujibu wa sheria sioni shida! Hata hivyo kwa siasa za wapinga vyote walioionesha miaka ya hivi karibuni...kufirisiwa lilikuwa fungu lao😜!
Na kwa siasa za uhasama mlizofundishwa na mwendazake, kuchunguzwa ni fungu lenu. Vumilieni tu machungu kama tuliyoyavumilia kipindi cha mwendazake
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
Kundi hili jaman linateseka 🤣🤣🤣👆👆👆 halaf ndo miez miwil tu shubaaamiiit!!!
 
Na kwa siasa za uhasama mlizofundishwa na mwendazake, kuchunguzwa ni fungu lenu. Vumilieni tu machungu kama tuliyoyavumilia kipindi cha mwendazake
Nyie tuchunguzeni tu, mtakapomaliza kutuchunguza, nchi itakuwa low income country tena chini ya somalia na south sudan! Yetu macho kushuhudia mnaanza tembeza bakuli😠😠!
 
Ndomu imekutwa na Yale Maji kabisa na walikuwa uchi ndio walikuwa wanaingia round ya pili ulitaka ushahidi UPI mkuu watu wameanza kumuimba tangu lini jamaa kuwa ni Kero ushahidi wa clips nyingi tu kwanza mama ni mstaarabu unakumbuka tumbua ya makufuli wewe? Anakutengua mkutanoni ...au mkuu ulikuwa moja ya wale bodyguards?
..wewe nyamaza bhannaa Jamaa alishaona yuko juu ya police...tulia Dawa iingie
 
Labda ingawa Kuna Kila sababu ya kufanya uchunguzi
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
Huyu atakuwa OLE huyu co kwa mapovu haya
 
Kuna watu wanajua kukopa then wanadanganya chawa wao(ukiwemo wewe) kwambi ni pesa za ndani, deni limepaa hatari, pole vumilia tu utapona
 
Huu mwaka mama atawapeleka ninyi msiopenda kufuata sheria mpaka mioyoyenu ivimbe na ipasuke yaani
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
Mbona inatumika nguvu Kubwa sana kumtetea ole sabaya
 
Mama hana tabia za baba yenu mwenda zake. Mshukuruni kwa hili anafuata sheria kwa kumpa mtuhumiwa nafasi ya kusikilizwa. Huu ndio uongozi. Shida ni kwamba huku kusikilizwa kama kukipatikana na ushahidi wa kutosha kijana wenu atakwenda kukaguliwa na ile ndikolo yake itaonekana. Mpeni pole, mfarijini pia kwamba huu ndio uongozi, ajifunze huku na sio kule kwa mtawala alikokuwa.
Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?
 
Back
Top Bottom