Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Sidhani kama kuna kukurupuka. Hii isuue ni ya siku nyingi na watu wamepiga kelele sana na huyu mutu ni kwa vile mwenda zake alimlea. Mama amefanya anayotakiwa kufanya full stop.
Yaani Kuna madogo wengi na Ali hapo bado. Hajui kuwa dunia yapita
 
Ilitakiwa muda kama huu Mtu awe lupango huko.Avunjwe kama wanavyo gonjwa wengine.
 
Kuna wengine zaidi ya Saambaya wanaosubiriwa kutenguliwa. Sasa wao ndio wanaopiga kelele kumtisha Mama asiwatengue na si kwamba ni Watetezi wa Saambaya.

Nigewashauri badala ya kuja humu mitandaoni kulalamika na kumkosoa Mama ni bora wajitokeze hadharani na kuwataka radhi wale wote waliowakosea. Huenda ikawa pona yao kwani Mama anaweza sema kwakuwa wameyafahamu na kuyajutia makosa yao basi nimewasamehe na kazi iendelee.
 
Urais ni taasisi kama ilivyokuwa kwa jiwe wakati akitumbua muraa!!
 
Alitakiwa amtumbue kama ana ushahidi

Ushahidi sio wa kutafuta, ni kwakuwa huyo mama anatumia tabia ya ccm ya kufichiana uovu. Lakini huyo mama akikubali ushahidi uwekwe wazi, anafungwa hata wiki ijayo. Huyo dogo mpaka bomu la soweto kwenye mkutano wa Cdm huko Arusha anajua taarifa zake. Huyo dogo ni muovu kama yule dhalimu unayelinda hilo kaburi lake.
 
Ukitaka asubiri mpaka lini ?
 

Amka ww kumekucha utalowesha godoro. Muda wa kutengeneza dhahania umepita, sasa hivi ukatafute kazi ya halali, lile kundi lenu la watu wasiojulikana limeondoka na yule dhalimu.
 
Nyakarungu vipi yaani yote yaliyosemwa hayana analysis kweli? Au una mahaba na sabaya& mwendazake?
By the way unateseka ukiwa wapi mura.
 
We unajuaje, je kama alikua anachunguzwa muda mrefu leo ndo majibu yamepatikana na maamuzi yakafata? Au ulitaka hadi aje mlango kwako agonge akwambie uchunguzi wa tuhuma za Sabaya umekamilika??? Mkuu unateseka ukiwa Bomang'ombe au wapi???

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka ushahidi gani hata punguani ana ushahidi jinsi jambazi sabaya alivyo jambazuka.Ulitaka ushahidi waje kukuonesha wewe? Urais NI taasisi zaidi ya taasisi mama anajua kila kitu kuliko ujuavyo wewe punguani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…