Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Sasa na wewe umeona umeandika kibwengo mkubwa ww. Uenda hata wewe ukosewa huyo si baba yako mzazi. Mbona mnapenda kuhangaika na makosa madogo? Vipi aliyesema Sadaam Hussein ni wa Kuwait.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengua teua zipi zipi hizo ambazo hazikuwahi kuwepo kabla yake ? Amebadili kila kitu ? Ni vitu gani alivyobadili ? Kipimo cha watu makini ni kipi ? Maana ukisema mama hakuzungukwa na watu wakini, hasa watu makini ni kina nani ?Sio hayo tu, namna mama anaenda kwa sasa sioni Kama anazungukwa na watu makini. Hizi tengua teua nyingi kwa wakati mmoja na kubadili karibu kila kitu inaonyesha hakuwa anakubaliana na marehemu kwa Mambo mengi jambo ambalo sio zuri kwake kwa sasa kutokana na Imani ya watu kwa marehemu. Na mimi sitashangaa kusikia Kuwa tuna lock down.Naamini mama anawaamini sana wanaomshauri kuliko yeye mwenyewe kwa sababu simuoni mama ninayemjua, namuona mama mwingine anayejaribu kufanya vitu vipya.
Eti imani kwa Marehemu..Mataga bana..upuuzi wote wa awamu iliyopita inapaswa ufumuliwe na Mama kashaanza kaziSio hayo tu, namna mama anaenda kwa sasa sioni Kama anazungukwa na watu makini. Hizi tengua teua nyingi kwa wakati mmoja na kubadili karibu kila kitu inaonyesha hakuwa anakubaliana na marehemu kwa Mambo mengi jambo ambalo sio zuri kwake kwa sasa kutokana na Imani ya watu kwa marehemu. Na mimi sitashangaa kusikia Kuwa tuna lock down.Naamini mama anawaamini sana wanaomshauri kuliko yeye mwenyewe kwa sababu simuoni mama ninayemjua, namuona mama mwingine anayejaribu kufanya vitu vipya.
Tulikuwa tunaongozwa na Rais asiyejua hata kuongea kiswahili fasaha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nchi za nje zinatumia katiba ya Tanzania linapokuja suala la misiba ya viongozi ambao sio wa kwao?..Tungesema tunaomboleza miaka kumi bendera nusu mlingoti,hizo nchi za nje zingetufwata na sisi kama unavodai?Kuna tatizo umakini unatakiwa kwa mfano alipotangaxa maombolezo kuwa yatakuwa siku 14 maraisi wa mataifa ya n
nje yakatangazia nchi zao kuwa bendera na sombolezo yatakuwa siku 14 !! Alipobadilisha kuwa ni siku 21 nje hawakubadilisha wakakaa siku 14 maombolezo yakaishia hapo na bendera zao kutokuwa nusu mlingoti tena !! Kama kuna mtu alimwandikia hivyo kuwa ni siku 14 badala ya 31 inabidi afungashwe virago na alishafungashwa virago mapema tu kapelekwa bungeni wengine wamepelekwa kwingine hawako ikulu tena. Walimchomekea aonekane bogus wakamzingua na yeye akawazingua
Na utofauti na wengine waliopita, yeye "maumbile yake ni mwanamke"Rais ni Samia Suluhu Hassan..
Mengineyo yoote ni maoni tu
wewe ni muhutuMimi ni Mtanzania sio Msukuma acha kutuletea ukabila
Bisha kwa hoja! Ni uamuzi gani mgumu hawa wengine wamewahi kufanya?
Hata 2015 NEC meeting kwa ajili ya nomination ya CCM presidential candidate tu JKM ilimshinda mpaka BWM akalazimika kuokoa jahazi!
Aya sasa wewe siku 31 umezitoa wapi? Kama wewe unakosea ukiwa peke yako iweje yeye aliyekuwa kazungukwa na wanafiki?Kuna tatizo umakini unatakiwa kwa mfano alipotangaxa maombolezo kuwa yatakuwa siku 14 maraisi wa mataifa ya n
nje yakatangazia nchi zao kuwa bendera na sombolezo yatakuwa siku 14 !! Alipobadilisha kuwa ni siku 21 nje hawakubadilisha wakakaa siku 14 maombolezo yakaishia hapo na bendera zao kutokuwa nusu mlingoti tena !! Kama kuna mtu alimwandikia hivyo kuwa ni siku 14 badala ya 31 inabidi afungashwe virago na alishafungashwa virago mapema tu kapelekwa bungeni wengine wamepelekwa kwingine hawako ikulu tena. Walimchomekea aonekane bogus wakamzingua na yeye akawazingua
Rais ni Samia Suluhu Hassan..
Mengineyo yoote ni maoni tu
Bila kukinga bakuli kwa mabeberu, huyu hana ujanja wa kuendesha hii nchi. Kwa hiyo, atalazimika kufuata masharti yote ya mabeberu!
Na hilo Jina la Jamhuri ndio salamu yenyewe.Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano
Kiongozi asiyeweza kusimamia anachokiamini hatufai, kwa sababu “ana tabia ya kimalaya malaya; ananunulika”!