Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

JPM ameshaondoka duniani ameshakuwa sehemu ya historia.

Cha muhimu mpe muda Rais wako afanye kazi. Yule ni Rais wa nchi sio admin wa group la whatsapp la chuo au la mliosoma wote shule ya msingi.

Kile ni cheo kikubwa sana, matunda ya kazi yake hayaonekani ndani ya mwezi mmoja au miwili.
Ndio maana nasema tuelendelee kula mtori nyama tutazikuta chini ila dalili za mvua ni mawingu kiongozi akitoa agizo au tamko linafanyiwa kazi mama ametoa matamko mangapi mpaka sasa hakuna lolote lililofanyiwa kazi? Haya subirini wave ya India hii hamtoki
 
Samia sio Magufuli. Kwanza kubalini hilo. Magufuli kuongoza nchi kwa hii miaka 5 mnataka ndio iwe template ya urais wa Tanzania!!

Viongozi hawajawahi kufanana, huyo unayemuona ni mfano wa kuigwa kuna watu walikuwa wanaombea asiwepo madarakani for another day. Unayoita udhubutu kuna watu walikuwa wanaona ni uharibifu tu. Kuamini kwamba uongozi ni kufoka na kujifungia Tanzania huku ukigombana na kila nchi na taasisi za kimataifa ni ujinga. Kama Samia hakufaa, kwanini shujaa perfect alimuweka pale?
 
SN.BARRY
Povu la nini? Ndo uhuru wenyewe,Mpe elimu tu ya kutosha sio kukimbilia kutukana haisaidii,watu kama hawa wanapaswa kupewa elimu!
 
Ndo maana nasema tuelendelee kula mtori nyama tutazikuta chini ila dalili za mvua ni mawingu kiongozi akitoa agizo au tamko linafanyiwa kazi mama ametoa matamko mangapi mpk sasa hakuna lolote lililofanyiwa kazi? Haya subirini wave ya India hii hamtoki
Una uhakika upi kuwa maagizo hayo hayajafanyiwa kazi?.

Tutulie tu hii ni Awamu ya sita.
 
NDUGU ZANGU MTANIKUMBUKA
May 31 ikigonga hakuna jipya kiuthabiti kabisa kwenye angalau lolote katika haya:

1. Ripoti ya CAG BOT na TPA
2. Ripoti ya tume kuhusu Corona
3. Hatua zilizochukuliwa kuhusiana na ripoti za CAG
4. Genge lile pendwa lilotaka kujimilikisha nchi kinyume cha utaratibu.

Mzima mzima atakuwa kasema mwenyewe kama anayaweza au ndiyo hivyo tena.
 
Nimeanza kupata wasiwasi haswa pale anaposoma hotuba,hotuba zake ,tones ya sauti yake inaonekana kama inayovizia wasikilizaji,inaonekana ya mtu aliechooka na kama haitoshi ina kapresha fulani hivi,kapumzi cha kuhema,pengine ni unene alionao au hofu.
Japo anajisifu kuwa anafuata nyayo za Raisi aliefariki Marehemu Magufuli na kuyatekeleza yale yote aliyoyaacha Marehemu.nakaribia kuapa kwamba hilo haliwezi hata azikiri...!
Magu alikuwa na uthubutu wa papo kwa papo na hata akiwa mbali,halazi damu kwa wazembe wa mchana kweupe.(Alikuwa na kasoro zake nyingi tu,ila alikuwa anajua kusimamia uchapa kazi).

Huyu Bikashoo nahisi anaona watu wako poa na kila akiitwa mama ,anasahau kama anavishwa kilemba cha ukoka. Mpaka sasa kuna mambo yameshaanza kupwaya,bado nasubiri kuona uchapa kazi wake,ila kwa sasa naona ni mtu wa mikutano wa kupenda kuhudhuria huku na kule akitoa hotuba na matangazo.

Raisi Samia bado hajaonyesha uwajibikaji wa aina yeyote ile ,yupo yupo tu ,labda tusubiri mwezi wa ramadhani uishe,hayo ya kupanga Mawaziri ,makatibu ndani ya srikali na ndani ya Chama chake,si ya kushitua ni yao hayo ,na yeyote aakiipata nafasi hiyo ,hayo anaweza kuyafanya kwa mwembwe kuliko zake.

Ni jambo gani mwananchi anaweza kusema hili limefanyika kutokana na amri au uongozi wake,mimi sijaona kama yupo alieona atuwekee,spika amewaumbua askari polisi na kimeeleweka anachokisema ,japo nae hana jema hata moja.

Tanzania haitajengwa kwa hotuba nzuri zilizosheheni ahadi.
Yaani asubuhi yote hii unaamka na hangover kwa mama? Wacha ujinga mwamba! Mama mbona kazi anapiga fresh tu? Mlizoea kututukana nyie Wasukuma kila uchao! Tukubali tu kwamba Jiwe limefamba na hatutaliona tena!
 
Ogopa sana mtu ambae anapenda kuongea maneno matamu na anaeyependa kumfurahisha kila mtu... watu wa aina hii hawana msimamo na ukikosa msimamo kila mtu utajikuta unafata ushauri wake na mwisho kama ni dereva mtajikuta mpo mtaroni.

Inakwenda miezi 3 niambieni ni kitu gani cha maana ambacho huyu mama amefanya ktk mavitu yote aliyoongea nitajieni kimoja tu. Ila kwa vile wanaopiga mapambio ni wengi watu hawaoni udhaifu wake ila soon mtaona baada ya pombe ya kusifu na kuabudu kuisha kichwani.
kwanza technically ni miez miwili. second nakushangaa unapima urais in two month eti nn kafanya?
ni mapema sana
 
Kwa mujibu wa uharo wako kuchapa kazi ni kutumbua watu🥺🥺🥺🥺🥺.

Duuuuuuhhh , kweli Afrika bado tuna safari ndefu.

Kwa Wazungu uchapa kazi ni kusimamia haki na utu kwa wanadamu ila kwa nyie wasukuma kuchapa kazi ni kutekana, kuuana, kudharauliana, kuchota pesa hazina na kupita kuhonga wapinzani, kugawa vyeo kwa uswahiba and so.
 
Nimeanza kupata wasiwasi haswa pale anaposoma hotuba,hotuba zake ,tones ya sauti yake inaonekana kama inayovizia wasikilizaji,inaonekana ya mtu aliechooka na kama haitoshi ina kapresha fulani hivi,kapumzi cha kuhema,pengine ni unene alionao au hofu.
Japo anajisifu kuwa anafuata nyayo za Raisi aliefariki Marehemu Magufuli na kuyatekeleza yale yote aliyoyaacha Marehemu.nakaribia kuapa kwamba hilo haliwezi hata azikiri...!
Magu alikuwa na uthubutu wa papo kwa papo na hata akiwa mbali,halazi damu kwa wazembe wa mchana kweupe.(Alikuwa na kasoro zake nyingi tu,ila alikuwa anajua kusimamia uchapa kazi).

Huyu Bikashoo nahisi anaona watu wako poa na kila akiitwa mama ,anasahau kama anavishwa kilemba cha ukoka. Mpaka sasa kuna mambo yameshaanza kupwaya,bado nasubiri kuona uchapa kazi wake,ila kwa sasa naona ni mtu wa mikutano wa kupenda kuhudhuria huku na kule akitoa hotuba na matangazo.

Raisi Samia bado hajaonyesha uwajibikaji wa aina yeyote ile ,yupo yupo tu ,labda tusubiri mwezi wa ramadhani uishe,hayo ya kupanga Mawaziri ,makatibu ndani ya srikali na ndani ya Chama chake,si ya kushitua ni yao hayo ,na yeyote aakiipata nafasi hiyo ,hayo anaweza kuyafanya kwa mwembwe kuliko zake.

Ni jambo gani mwananchi anaweza kusema hili limefanyika kutokana na amri au uongozi wake,mimi sijaona kama yupo alieona atuwekee,spika amewaumbua askari polisi na kimeeleweka anachokisema ,japo nae hana jema hata moja.

Tanzania haitajengwa kwa hotuba nzuri zilizosheheni ahadi.
ivi mzee ccm kuna mtu wamaana ujuwe ccm huu sasa ni mwaka wa 60 wanatawala hivi kuna la maana umeliona bro.
 
Mama atafeli akitaka kupendwa na Kila mtu,watu Wana uchu wa pesa na Mali ndo Mana Kila mtu anataka lake litimie.
Awe makini Sana Hapo,Si wafanya biashara,wafanyakazi,wanasiasa,wanaharakati,ajira mpya,madaraka pamoja na nchi za nje.Wote wanataka kutimizwa ya kwao.
Miluzi mingi hii itamponza achague Cha kuanza nacho Kisha aende mdogo mdogo.

Zaidi ya yote akae mbali Sana na kikundi Cha kikwete maana kilikataliwa na wananchi muda mrefu sana kiasi hata wanachama wa CCM walikua wanaona aibu kujitanbulisha mbele ya jamii.
Awafuate usalama wa Taifa wamsaidie kuunda team yake kuliko kuunda team kwa msaada wa JK.
Nafikiri ameshaskia Sasa wananchi wananong'ona kuhusu JK na team yake jinsi wanajisogeza kwa kasi zaidi,atemane nao kabisaaaa Bora ashirikiane na Hussein mwinyi Wa ZNZ anaijua Zaid Tanzania bara na Nani wa kuteuliwa na Nani asiteuliwe.

All in all mzigo Ni wake ukimuelemea aibu Ni yake
 
Ogopa sana mtu ambae anapenda kuongea maneno matamu na anaeyependa kumfurahisha kila mtu... watu wa aina hii hawana msimamo na ukikosa msimamo kila mtu utajikuta unafata ushauri wake na mwisho kama ni dereva mtajikuta mpo mtaroni.

Inakwenda miezi 3 niambieni ni kitu gani cha maana ambacho huyu mama amefanya ktk mavitu yote aliyoongea nitajieni kimoja tu. Ila kwa vile wanaopiga mapambio ni wengi watu hawaoni udhaifu wake ila soon mtaona baada ya pombe ya kusifu na kuabudu kuisha kichwani.
ni heri tuishi kwa matumaini kuliko hofu.....ni heri tuishi kimasikini kuliko ndugu zetu wapotee na wemgine wapate ulemavu kisa kuhoji.
 
Ogopa sana mtu ambae anapenda kuongea maneno matamu na anaeyependa kumfurahisha kila mtu... watu wa aina hii hawana msimamo na ukikosa msimamo kila mtu utajikuta unafata ushauri wake na mwisho kama ni dereva mtajikuta mpo mtaroni.

Inakwenda miezi 3 niambieni ni kitu gani cha maana ambacho huyu mama amefanya ktk mavitu yote aliyoongea nitajieni kimoja tu. Ila kwa vile wanaopiga mapambio ni wengi watu hawaoni udhaifu wake ila soon mtaona baada ya pombe ya kusifu na kuabudu kuisha kichwani.
Ametumbua yale majizi yaliyokuwa yanalindwa na jambazi kuu ....

Bashiru, lile la Bandari, yale ya TASAC, lile la Posta... yote kayafutilia mbali...

Yaende Chattle yakasujudu kaburim la mungu wao...
 
Back
Top Bottom