Ni kweli sasa Raisi Samia anafuata nyayo za Mareemu Magufuli na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo nae anavyozidi kuzoea mazingira mepya ,tunasema ameanza kushika hatamu za uongozi na kuanza kujijengea himaya.
Nionavyo hana jipa ni yayo kwa yayo maji ya futi na nyayo.
Ni bora sasa CCM tujipange kuwa na chaguo la Raisi mwenye muelekeo,huyu hadi leo namuona bado anapapasa ,na ameshaanza kushindwa kushughulikia hotuba ya mkaguzi wa mahesabu,wakuu tuelezeni ni wapi ameyachukulia hatua maovu yote yaliyogundulika na kugunduliwa na CAG.
Raisi Samia sasa namuona ni mutu au Raisi wa matukio,tutarajie kumuona sana kwenye makongamano mahafali ,a mambo makubwa makubwa ikiwemo misafara huenda akamshinda vasco wa Tz.