Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Timu Chato mnahangaika sana, Kiongozi tumeshapewa na Mungu tayari...wewe subiria ufufuoNajua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...