Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...
Mungu husikia kilio cha wanyonge. Yeye huwainua wanyonge toka mavumbini na kuwaketisha pamoja na wakuu.
 
Najua walalahoi wengi, mama ntilie, wamachinga na wakulima wanahofu kubwa kuwa itakuwaje sasa baada ya mtetezi wa wanyonge kuondoka kiaina. Wengi mpaka sasa vichwa vinagonga na kuhoji. Itakuwaje sasa maana mtetezi wao alikuwa akitoa tamko nchi nzima inatambua kuwa kuna tamko limetoka...
Akitokea mtemaji, mpotezaji watu, mporaji wa wafanyabiashara, mvunjaji wa nyumba za watu kwa ajili ya barabara bila fidia, mbambikaji kesi za uhujumu , kama Mwendazake naye atakufa tu.
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyze evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
 
DPP ni kiongozi mkubwa sana na amefungulia watu maelfu ya kesi bila ya kuwa na ushahidi wowote. Wengine wako magerezani kwa zaidi ya miaka mitano bila kesi kukamilika kwa sababu ya kukosa ushahidi, wewe huyo sponsor wako ametenguliwa tu ulaji wake na yuko huru uraiani ndio unatupigia hizi kelele zote!
 
Mama mwenye nyumba anashikwa masikio mitandaoni kwa masilahi ya kundi fulani. Wakati anaingia alitaka kubalance viongozi wake kwa uwiano sawa kati ya wavaa vibarakashia na wale wa misaraba. Hili swala liliwashitua sana wavaa misaraba kwan ni kitu ambacho hawakukitarajia wala kukizoea. Wakaingia mitandaoni na baada ya hapo mama akarudi kule kule kwa wenye misaraba 10 au 15 huku vibarakashia wakiwa 1 au 2 ktk teuzi zake. Sasa hivi kuna kundi lingine ambalo linapigania masilahi na uhai wa chama chao mitandaoni, mama mwenye nyumba ameonekana kuwaelewa na kufanya yale wanayoyataka. Yetu macho wengine tunachangia tu lkn hatuna cha kupoteza.
 
Sidhani kama una akili timamu.
 
Hivi waliopo mitandaoni sio watanzania?

Hawana haki ya kusikilizwa?
 
Kuwa na kiongozi yoyote ambaye atafanya maamuzi kwa hisia bila kuwa na ushahidi wa kutosha ili mradi tu kufurahisha watu wa kundi fulani ni kosa kubwa sana.

Take time to analyize evidence and make decisions. Hii ni principle kubwa sana kwa kiongozi yoyote ambaye anatakiwa kufanya maamuzi.

Kwa nini kiongozi atumie gossips za mitandaoni kufanya maamuzi ili kulidhisha kundi fulani? Hili ni kosa kubwa sana. Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.

Angalia juu ya ishu ha Cuthbert Swai, na Ishu ya magari yenye namba za UN kufanya uhalifu. Yanatia akilini kukurupuka na kutoa maamuzi haraka?

Watanzania tujitafakari sana.
unauhakika gani kuwa maamuzi yamefanyika bila uchunguzi?
rais amezungukwa na timu mbali mbali za usalama. hawawez leta false allegation bila uchunguzi.
malalamiko yamefanyiwa kazi.

hitaki unaweza kufanya investigation yako. uka present finding zako kwa mamlaka husika huenda wakasikia kilio chako.
jf haitokusaidia chochote
 
Wewe ole sabaya wewe. Mbona hili lako wananchi wamelipigia kelele siku nyingi kuhusiana na uharifu wako. Wewe pamoja na mkuu wa mbeya kwa nchi zenye kufuata vizuri utawala wa sheria muda huu ilikuwa uwe jera mkuu. Shukuru nchi hii kulindana sana,wamekupa fair sana kukupangia uchunguzi
 
Back
Top Bottom