Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwa kweli akikabidhiwa kijiti majaliwa moyo wangu utafurahi Sana,mungu amjalie kassim awe rais
 
Umekwenda Bugando?
Umeenda Dodoma?
Corona ipo hiyo immune mlipewa waafrika kupambana tu na Corona lakini kwenye kupambana na UKIMWI hakuna ?.

Huu ujinga ujinga ndo ulifanya mwezi wa pili watu wapukutike na huyo aliyepa kujiamini nae akafa na makorona.
Kwa upumbavu Africa tutapata maendeleo miaka 1000 ijayo.
Suala la immune lipo. Unapotaja ukimwi uelewe wazungu wako vzr kwenye ukimwi kuliko waafrika. Namaanisha Kinga ya weupe linapokuja suala la ukimwi ipo juu kuliko waafrika na hivyo wao hawaathiriki Sana Kama sisi
 
Ni kweli sasa hivi si tishio sana kwani watu wanachukua tahadhari za kisayansi.

Kabla ya tarehe 17 March watu walikuwa wakilishwa matango pori ya "kujifukiza, kula malimau na kunywa tangawizi".

Korona ilipokuja kupiga ikulu ndiposa watu akili zimewarudi na tahadhari za kisayansi zinachukuliwa.
 
Majaliwa anaenda kupumzika Ruangwa, 2025 Katiba Mpya na Tume Huru kwanza mengine baadae.
 
Suala la immune lipo. Unapotaja ukimwi uelewe wazungu wako vzr kwenye ukimwi kuliko waafrika. Namaanisha Kinga ya weupe linapokuja suala la ukimwi ipo juu kuliko waafrika na hivyo wao hawaathiriki Sana Kama sisi
Kuna research yoyote au myth stories?
 
Ata wewe unaweza kufa ata kwa kujikwaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sipingi lakini tusife vifo tulivyopewa maarifa kuviepuka.
Mfano CORONA ni sawa unaweza kufa nayo lakni pia tunaweza kuepukana mayo.
Serikali yetu haina uwezo wa kukabiliana na majanga au maafa kama hayo. Tukileta uzembe tutarudi nyuma tena.
Ebu tuchkueni tahadhari tukiomba pia.
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais ambaye anaiongoza nchi akiwa katika wakati mgumu sana ni wakati ambao Dunia ikiwa katika kulazimisha jambo ambalo kiuhalisia Afrika halipo.

Dunia inapitia kipindi kigumu pengine kuliko hata wakati wowote ule yaani inapitia nyakati ambazo maagano ya Kishetani yakishika kasi Duniani kwa mfano kwenye suala la Corona hili suala yaweza kuwa kweli wazungu imewatafuna sana lkn lazima wajue kuwa kila litokealo ulaya na Afrika liko hivyo hivyo hapana miili yetu iko very immune kupambana na so called Covid 19.

Mama Samia anajua wazi kuwa Corona haipo na hata kama ipo si tishio kama ilivyo malaria lakini Wananchi wa Tanzania walipewa imani kubwa sana na Magufuli ya kijiamini sasa basi hii ni ngumu kutengua kauli ya Magufuli ni ngumu na ni ngumu sana mabwana wakubwa wako serious kumshinikkza Mama awake viashiria vya vitisho vya kuvaa barakoa wakati ukweli ni kwamba barakoa is helpless.

Mama Samia yuko amechoka anasubiri tu 2025 amkabidhi kijiti Majaliwa Kassim Majaliwa.
Mnafiki ww, Samia yupo hadi #2035,
Kwanza we si tokea afe mungu wenu ulikuwa unamtukana Samia humu!, leo pole unampa ya nini
 
Mama Samia yuko amechoka anasubiri tu 2025 amkabidhi kijiti Majaliwa Kassim Majaliwa.
Baada ya hapo muandae Wachawi elfu sita muelekee kwenye kaburi kwenda kufanya ibada zenu za Gambosh ili mjaribu kufufua mwili ibada hiyo itaongozwa na Majaliwa
 
Mataga mnahangaika Sana Sasa ndio Nini hizi pumbaz ulizoandika?

Hapo mwishoni et corona ugonjwa wa kishetani daaa Africa Bado Kuna ujinga mkubwa Sana yaani Leo shetani ajifitini alete ugonjwa unaoua Hadi watu wake huo si upuuzi

Et mtu pori from Chattle Mabatini alikua Shujaa akaishinda corona wakati ndio ilimtoa roho Kwa kustop heart ingine yake
Endelea kupigania legasi hewa!

Kalaga bhaho!
 
Hilo sipingi lakini tusife vifo tulivyopewa maarifa kuviepuka.
Mfano CORONA ni sawa unaweza kufa nayo lakni pia tunaweza kuepukana mayo.
Serikali yetu haina uwezo wa kukabiliana na majanga au maafa kama hayo. Tukileta uzembe tutarudi nyuma tena.
Ebu tuchkueni tahadhari tukiomba pia.
wapo wanakufa kwa Maralia pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cold War era/ liberation era politics za kusema Dar haikuwa secure na iko prone to attacks. This is moot.

Habari za Dodoma kuwa kati ya nchi na kuwareachable kirahisi kutoka sehemu zote za nchi nazo ni moot, more than 10% ya watu wapo Dar, na wanaofanya mingle za kiserikali ni disproportinately hao.Zaidi, e-government ilitakiwa kurahisisha huduma, si kuhamisha mji.

Ukweli ni kwamba Nyerere alikuwa haipendi Dar tu, alikuwa anaiita Rumourville, akataka mji mkuu uende sehemu ya kimya, in keeping with his stoic nature. Lakini, hilo haliendani na matakwa ya kiuchumi na kijamii ya nchi.

Ameeingiza nchi gharama kubwa ya kuhamisha mji mkuu na mpaka leo watu wanazunguka Dar to Dodoma and back kwa gharama kubwa sana bila kuongeza tija yoyote.

Mji mkuu ulikuwepo Dar tayari, hakukuwa na haja ya kwenda Dodoma.
I second you
 
Habarin wana jf.

Hayati magufuli alitufikisha kwenye uchumi wa kati kutoka uchumi wa chini.
Je, mama anatubakisha hapa hapa au anatupeleka uchumi wa juu?

Sera Zake hazieleweki.swala la bandari ya bagamoyo, lilishasemwa, kwamba mkataba ni mbovu huo.

Anaturidisha kwa mafisadi tena.
 
Back
Top Bottom