Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kuna upepo mwingine ni ngumu sana kuuzuia..

Mapolisi kuua raia hilo halikubaliki hata kidogo...au wizi unaohusisha mauaji inabidi serikali ipambane haya yasitokee..lakini haya ya mtu kumnyonga mpenzi wake..sijui mtu kuua kwa kulipizia kisasi yanahitaji zaidi utashi wa kibinadamu na utu,serikali haiwezi kufanya lolote zaidi ya kuomba watu wake wawe na utu na kuwa na hofu ya Mungu.
 
Sasa raisi anahusikaje watu wanachomana visu kwa wivu Rais aje awapokonye?

Madereva kila siku wanapigiwa kelele lakini ni vichwa mbovu unadhani atafanyeje

Mauwaji ya kuingilia kati ni yale yanayosababishwa na polisi tu
Wewe ni mjinga namba moja
 
Kwahiyo unaona ni bora Raisi ajiuzulu apishe uchunguzi?.
 
Nimeona watu wengi wanamnyooshea vidole IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani. Mimi nina mawazo tofauti kidogo naomba nisikilizwe.

Kwa maoni yangu, Rais wetu mpendwa ameshindwa kutulinda, mauaji ya kutisha yamefululiza mno, yanayoripotiwa ni sehemu tu ya yanayotokea, pia huko barabarani ajali zinapukutisha watu kila kukicha.

Nadhani Rais ukubali tu kukaa pembeni, tunakupenda ila huwezi kutulinda.

Ni maoni yangu, naamini sijavunja sheria za JF.
Wakati wa mwendazake sijui kama uliweza kuhoji namna hii ya kwanini watu wanakufa au kupotea?
 
Sasa raisi anahusikaje watu wanachomana visu kwa wivu Rais aje awapokonye?

Madereva kila siku wanapigiwa kelele lakini ni vichwa mbovu unadhani atafanyeje

Mauwaji ya kuingilia kati ni yale yanayosababishwa na polisi tu
Wakati wa Mwendazake.. kukitokea mauaji... makelele yalikuwa mengi sana. Haya mauaji ya sasa yamezidi kipindi cha Mwendazake... wananchi tutafakari....
 
Linapotokea jambo kubwa kwenye taifa raisi ndie anaeangaliwa, lakini hili la mauwaji ya hapa na pale sidhani kama rais anapaswa kuangaliwa kwa vyovyote.

Kikubwa ni watu kuelimishwa na mamlaka husika jinsi ya kushika sheria bila shurti, kuwa wa wenye kusameheana,kuvumiliana na kuthaminiana.

Polisi nao watimize wajibu wao kisheria na serikali za mitaa ziwe karibu sana na wananchi ili kujua nini kilichopo.

Mahakama nazo ziwe zenye kutoa haki katika maamuzi yake kweli iwe kweli na la iwe la!
 
Karibu ungepatia....
Kwa usahihi kabisa ni ccm (mkoloni mweusi) ndiyo tatizo.
Nimeona watu wengi wanamnyooshea vidole IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani. Mimi nina mawazo tofauti kidogo naomba nisikilizwe.

Kwa maoni yangu, Rais wetu mpendwa ameshindwa kutulinda, mauaji ya kutisha yamefululiza mno, yanayoripotiwa ni sehemu tu ya yanayotokea, pia huko barabarani ajali zinapukutisha watu kila kukicha.

Nadhani Rais ukubali tu kukaa pembeni, tunakupenda ila huwezi kutulinda.

Ni maoni yangu, naamini sijavunja sheria za JF.
 
Nimeona watu wengi wanamnyooshea vidole IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani. Mimi nina mawazo tofauti kidogo naomba nisikilizwe.

Kwa maoni yangu, Rais wetu mpendwa ameshindwa kutulinda, mauaji ya kutisha yamefululiza mno, yanayoripotiwa ni sehemu tu ya yanayotokea, pia huko barabarani ajali zinapukutisha watu kila kukicha.

Nadhani Rais ukubali tu kukaa pembeni, tunakupenda ila huwezi kutulinda.

Ni maoni yangu, naamini sijavunja sheria za JF.
Wewe kweli ni bei elekezi.
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ivi wewe mwenye thread hii sio Ndugai kweli?
 
kwa sasa majaliwa wala makamba siyo preaident materials

CCM wasipotengua utaratibu wao wa kumpitisha mgombea wao wa urais kwa awamu mbili safari hii itakula kwao.

Ili CCM iondoke madarakani kiwepesi basi wamruhusu Samia agombee urais 2025 maana Samia amefeli sehemu nyingi sana hakuna sehemu angalau unaweza ukamsifia amefanya vizuri, angalau hayati Magufuli kuna sehemu amefanya vizuri sana licha ya mapungufu machache ya kibinadamu aliyokuwa nayo.

Sasa kwa huyu Samia kila sehemu holaaa na hana meno kabisa watu wanafanya mambo ya ovyo kila kukicha kadri wanavyojisikia yeye yupo tu anaangalia.

Anachokiweza labda kuipambania Zanzibar na sio Tanzania bara.

CCM ili ilete ushindani mkubwa basi wampitishe Kasimu Majaliwa awe mgombea wa urais na sio Samia.
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Hili swali lako litaishi kipindi chake chote cha uongozi wake.Sasa hivi amekumbatia uchifu hivi uchifu upo zanzibar? Kama sio kushikiwa masikio.
 
Sometimes huwa najiuliza sana hawa wateuaji kuwa wanatumia njenzo gani kuwapata wateuliwa, naishia kujipa moyo tu kuwa labda kuna taarifa sina
Hizo hizo njenzo amabazo wewe haujateuliwa ndiyo wao wanazo [emoji3][emoji3]
 
Wakuu
Tutunze hii kumbukumbu kwa manufaa ya Baadae.

1.Zanzibar itakimbia sana kimaendeleo na hapa tuwatakie kila la Kheri.

2.Rasilimali za Tanzania Bara zitabinafsishwa hovyohovyo mfano. Chuma, Ardhi ya kilimo, maeneo ya uchimbaji wa Uranium na madini mengine.

3. Uwindaji holela ambao hautokua na faida kwa Taifa hapa wanufaika wakubwa watakua waarabu.

4. Muungano utatikisika hasa kutokana na kuongezeka minong’ono ya wananchi wa Tanzania Bara hapa watahoji uwiano wa mgawanyo wa rasilimali ilihali haiendani na idadi ya watu hili alianza kuhoji Ndugai.

5.CCM itapasuka vipande vipande na hii itatokana na wafuasi wa marehemu Magufuli kuhisi wanaonewa na kunangwa kwahiyo kila watakalohoji itaonekana hawakupenda Samia Awe Rais.

6.Baadhi ya miradi iliyoasisiwa na Magufuli itatelekezwa kwa visingizio mbali mbali ili ionekane Magufuli alikua mtu wa hovyo mfano, Bwawa la umeme Kule Rufiji.

7. Kutaongezeka uonevu na ukatili dhidi ya wananchi na matukio haya ni kuomba sana vyombo vya dola kusimama imara maana ni hatari.

8.Rushwa itafanyika nje nje na kutaibuka skendo kubwa za Rushwa ambazo zitahusisha taasis binafsi na zile za serikali.

9. Diplomasia ya Tanzania itaimarika na Tanzania itakua na mahusiano mazuri na nchi mbalimbali Duniani.

10. Deni la taifa litakua maradufu kuliko marais wote na mikopo hii nafuu itagundulika sio nafuu bali ni mikopo yenye riba kubwa lakini ya muda mrefu.

11.Biashara ya magendo mbali mbali itashamiri nchini kuliko kawaida.

12. Watanzania watakaojituma kipindi cha Rais Samia watatajirika sana maana Fursa zitakua nyingi mno hivo ni wewe kupambana tu.

13. Mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali kuanzia mafuta ya kula, mafuta ya mitambo na magari, vifaa vya ujenzi, madawa na vyakula bei hazitokua tulivu kama ilivozoeleka.

14. Ulanguzi na walanguzi watatamalaki katika nchi hawa watakua na nguvu kubwa na hakuna atakaewakemea.

15.Wakulima watakipata cha moto maana kuanzia mbolea hadi sokoni hawatoona lolote yaani mkulima ataumia kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom