Heshima kidogo iwepo kwa waliotangulia maana naona umekosa mifano unajitolea tu.
Treni linakimbiaga maspeed ya juu tu bila kujali nn kipo mbele, ikitokea kuna hitilafu ya reli huko mbele linaparamia pukurtukuTUKUUUUPUUUU. LINACHINJA WOTE. Ndivyo JPM alivyokuwa?
Nchi haiongozwi na marehemu, marehemu wamemaliza sehemu yao. Raisi ni SSH, Tumkosoe ili tujenge na sio lazima kuassume kwenye kila jambo marehemu angefanyaje. Kila saa ni marehemu, marehemu, marehemu, marehemuuu kanakwamba yeye ndo wa mwisho kufa.