Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Suluhisho ni utawala wa majimbo, ni vigumu Rais kuchagua watu wazuri wa kuwaweka kila mahali nchi hii ni vigumu sana, haiwezekani.
Raia wachague viongozi wao wenyewe kwa kura katika Mikoa, Wilaya na Halmashauri.
Kazi ya Rais si kutembelea kila Shirika la umma ili kujua utendaji wake. Nchi ya Tanzania ni kubwa mno hawezi kufika kila mahali ili ajue utendaji wa kazi. URais ni tasisi- ina watu wengi wanao msaidie Rais ili atimize majukumu yake ipasavyo Kama atatembelea kila sehemu- kuna majukumu mengine yatalala. Rais anatakiwa achague timu nzuri , watu ambao si ndugu zake wa damu, watu wa dini na makabila mbali mbali. Hakuna tatizo kwa Rais kusikiliza ushauri, hakuna binadamu anayejua kila kitu. Rais ameajiliwa na wapiga kura wake.
 
inawezekana anaogopa kutia mguu tanesco kuna mirija minene ya wazito wenzake asije akawaudhi
Mmesahau yale masandarusi !! Na Richmond je ?!! Symbion je ?!! Wanene ni shida huwa hawaridhiki mpaka wanaingia kwa mwanandani !!
Suluhisho ni utawala wa majimbo, ni vigumu Rais kuchagua watu wazuri wa kuwaweka kila mahali nchi hii ni vigumu sana, haiwezekani.
Raia wachague viongozi wao wenyewe kwa kura katika Mikoa, Wilaya na Halmashauri.
Kabisa kabisa! Nchi hii ni kubwa sana na ina watu selfish sana ! Kipindi cha Mwalimu utawala ulikuwa hauna matatizo sana maana watu walikuwa wachache sana !! Wakati wa Uhuru walikuwepo milioni nane tu. !
 
Kazi ya Rais si kutembelea kila Shirika la umma ili kujua utendaji wake. Nchi ya Tanzania ni kubwa mno hawezi kufika kila mahali ili ajue utendaji wa kazi. URais ni tasisi- ina watu wengi wanao msaidie Rais ili atimize majukumu yake ipasavyo Kama atatembelea kila sehemu- kuna majukumu mengine yatalala. Rais anatakiwa achague timu nzuri , watu ambao si ndugu zake wa damu, watu wa dini na makabila mbali mbali. Hakuna tatizo kwa Rais kusikiliza ushauri, hakuna binadamu anayejua kila kitu. Rais ameajiliwa na wapiga kura wake.
KamaWasaidizi wake hawamsaidii aendelee kuganda tu ofisini akisubiri kudra za mungu?,wewe ni hopeless kabisa,tena [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]kabisa
 
Yaani kwa huu mgao wa umeme...JPM kuwaumbua basi ndio kisasi tunakilamba sisi kisawa sawa...hakuna rangi tutaachaona...

Hv tumekosa viongozi majasiri wakututetea kwa hili....tunamwachia Marope ana run the show km vile nchi ya baba yake hii...mara ukame?! Sasa hv sababu imebadilika ni matengenezo mitambo imechakaa...

Mitambo imechakaa pindi marope kushika wizara tu?! Watanzania tu Wapole sana kwa kweli
Akili ni nywele na marope ana kipara [emoji17][emoji17]
 
Kazi ya Rais si kutembelea kila Shirika la umma ili kujua utendaji wake. Nchi ya Tanzania ni kubwa mno hawezi kufika kila mahali ili ajue utendaji wa kazi. URais ni tasisi- ina watu wengi wanao msaidie Rais ili atimize majukumu yake ipasavyo Kama atatembelea kila sehemu- kuna majukumu mengine yatalala. Rais anatakiwa achague timu nzuri , watu ambao si ndugu zake wa damu, watu wa dini na makabila mbali mbali. Hakuna tatizo kwa Rais kusikiliza ushauri, hakuna binadamu anayejua kila kitu. Rais ameajiliwa na wapiga kura wake.
Sio mpaka uende kila mahali mfano mrahisi,

Jiwe alijuaje wachungaji wanauza vifaa vilivyokuja kwa msamaha wa kodi..?

Alijuaje mabwawa ya kufua umeme yanafunguliwa usiku ili sababu iwe kina cha maji kimeshuka wauze majenereta yao..?

Alijuaje butimba kuna simu na biashara ya ganja...?

Alijuaje, alijuaje alijuaje...?

Kuwa Rais sio mpaka uende kila sehemu unahitaji watu sahihi wa kukupa info hilo tuu.
 
Yaani kwa huu mgao wa umeme...JPM kuwaumbua basi ndio kisasi tunakilamba sisi kisawa sawa...hakuna rangi tutaachaona...

Hv tumekosa viongozi majasiri wakututetea kwa hili....tunamwachia Marope ana run the show km vile nchi ya baba yake hii...mara ukame?! Sasa hv sababu imebadilika ni matengenezo mitambo imechakaa...

Mitambo imechakaa pindi marope kushika wizara tu?! Watanzania tu Wapole sana kwa kweli
Hizi ndo akili nazo chukia, yaani tunasubiri mtu atutetee?
 
Huo ndiwo ukweli.

Rais Samia ni laini mno lijapo suala la usimamizi wa jambo na kwake yeye huamini kusikia/kusimuliwa zaidi kuliko kufika mwenyewe ili kujionea.

Hulka ya Viongozi wengi ni wezi na mafisadi na kwayo hata mianya ya kuharibu kwa makusudi jambo lolote zuri ili tu wajinufaishe wao kwao si kazi kubwa.

Samia ni Rais wa kusimuliwa na hapo ndipo mwanya wa mafisadi kuiba na kuharibu kwa ajili ya maslahi yao huwa.

Mfano mzuri ni hayo matengenezo ya injini za Airbus zetu ukweli ni kwamba hayupo hata mtu anayefuatilia kwa maana ya mkazo na sababu ni moja tu wenye maslahi yao wameweka mkono wao ili mwisho wa siku Shirika life na wao waendelee kunufaika na miradi yao kama hapo awali.

Aminini nawaambia, Tanesco, ATCL na Mashirika yote ya UMMA yaliyoanza japo kujikongoja yatakufa yote ndani ya Utawala huu!

NB: Hata kule kwao mwanamke kwake ndani.
Unaongea kama Tanesco, ATCL na hao wengine walikuwa kama Google au Apple! ni lini mashirika haya yalikuwa na unafuu, maana toka tumepata uhuru hata tuliyorithi kwa wakoloni tumefilisi nitajie shirika moja lilikuwa imara na awamu hii linakufa. Tumefilisi mpaka vyama vya ushirika. Toka Nyerere. Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wanaweza kujivunia shirika hili la uma limesimama. wizi mtupu.
 
Nakubaliana na kitu kimoja tu January hafai hili naunga mkono.
 
Yaani kwa huu mgao wa umeme...JPM kuwaumbua basi ndio kisasi tunakilamba sisi kisawa sawa...hakuna rangi tutaachaona...

Hv tumekosa viongozi majasiri wakututetea kwa hili....tunamwachia Marope ana run the show km vile nchi ya baba yake hii...mara ukame?! Sasa hv sababu imebadilika ni matengenezo mitambo imechakaa...

Mitambo imechakaa pindi marope kushika wizara tu?! Watanzania tu Wapole sana kwa kweli
Wapo lakini pekee yao hawatoshi. Tumempata Bashiru kaanza na wakulima, Ndugai alikaa na mikopo naye kamaliza. Sasahivi tunawahitaji hawa wengi sana badala ya kulia lia tuamke tuliamshe, kumwachia Bashiru pekee ni kujisariti wenyewe
 
Jaribu kuwa na adabu ilitokea ukakamatwa usidhani utafikishwa mahakamani ili ukakane hujamtaja mtu. utachezea kipigo nje ya PGO. Ni ushauri tu simu yako, Bando lako na tozo unakatwa angalia visikuletee matatizo, One can trace your IP address and hunt you down. vijana wengi mnajiunga kwa kutumia namba za simu zilizosajiliwa na NIDA don't dare think you are invisible.
Ni ushauri tu
Kwahiyo akichezea kipigo itambadili fulani kua malkia ?
 
Kazi ya Rais si kutembelea kila Shirika la umma ili kujua utendaji wake. Nchi ya Tanzania ni kubwa mno hawezi kufika kila mahali ili ajue utendaji wa kazi. URais ni tasisi- ina watu wengi wanao msaidie Rais ili atimize majukumu yake ipasavyo Kama atatembelea kila sehemu- kuna majukumu mengine yatalala. Rais anatakiwa achague timu nzuri , watu ambao si ndugu zake wa damu, watu wa dini na makabila mbali mbali. Hakuna tatizo kwa Rais kusikiliza ushauri, hakuna binadamu anayejua kila kitu. Rais ameajiliwa na wapiga kura wak

Na hapo ndio wabongo / wasaidizi wanampiga sana
Kwa tanzania viongozi wote mawazo yao ni kupiga ela,

Nakupa mfano wa ile ishu ya kuchora twiga kwenye ndege, bajet yake ilikuwaje?

Kwa tanzania bila kuwa close kwenye mashirika ni wizi tu
 
Nii lini hayo mashirika yetu ya umma yalisonga mbele tangu enzi za JKN?

Mfano:
1) Shirika la ndege ATC tangu lilipoanzishwa lilikuwa la kubahatisha mwisho likaitwa Any Time Cancellation (tunakumbuka sana)
2) NDC sijui iliishia wapi.
3) TANELEC je imekwenda wapi?
4) TRC hakuna maendeleo yo yote linachechemea
5) Bandari ndiyo usiseme miaka yote hiyo bado tuko pale pale kazi wachache kupiga pesa tu
6) Viwanda vya Urafiki, Mwatex, Cotex, Tanganyika Packers vimeishia wapi?

Munataka kumtwika Rais mzigo ambao ulimshinda Mnyamwezi kuubeba kwa kumuonea tu.
 
Back
Top Bottom