Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]HAKUNA
KAKUNA
HAKUNA
HAKUNA
[emoji1][emoji1787][emoji38][emoji38]Katufanya tuuone Muungano ni wa kikuda hapo zamani,hatukuwahi kujua kuwa hawa wazanzibar,wanaitamani Tanganyika yetu, wametunyonya sasa wanataka watuuze na sisi kama Loliondo kwa waarabu na wauze nchi yetu kwaarabu,
#Muungano ni utapeli,Kataa Muungano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti uliona wapiMiradi ya JPM:
1. SGR
2. NYERERE HYDROELECTRIC POWER
3. Upanuzi wa barabara njia 8 + 4(service road)=12 kimara mpaka kibaa
4. Rada 4 za kulinda anga la Tanzania
5. Kufufua ATCL kanunua ndege 12
6. Elimu bure
7. Viwanda (kalakana/gati) za kutengeneza meli ziwa Victoria
8. Daraja lefu zaidi East Africa na kati 5km la busisi ziwa Victoria
9. Elimu bure
10. Makazi bora ya vyombo vya ulinzi (polisi) nchi nzima
11. Kuunganishiwa umeme vijiji vyote karibu na bure kwa kulipa tu 27,000/= ulishaona wapi?
12. Hostel za wanafunzi UDSM
13. Serikali kuhamia Dodoma
14. Ikulu mpya Dodoma chamwino
.
.
n.k
Ongeza nyingi
Kukaa kimya hata akisemwa vibayaHaya sio matusi! Jenga hoja! Sema jambo dhahiri lenye mashiko lisilo la kufikirika ambalo kalitendea taifa!
Ujaelewa uzi! Hivyo vitu ni too common hata kila Rais anafanya: mfano JPM alimtoa Babu seya kifungoni. Kwa wenye akili uwezi kusema eti hilo ni jambo lenye mashikoKampa mbowe ruzuku anakula na watoto wake... Kamrudisha Lissu bongo anaishi hana pakukaa... Kamrudisha na kumlipia Lema deni la mkopo crdb alilokua amelikimbia... Kubwa zaidi nchi ipo huru wawekezaji kila kona... [emoji90][emoji90][emoji90]
Umeongea umbeya tu,Mama anawafanya watu wacheke na familia zao, kila mwaka anatoa ajira kwa vijana sio walimu, afya na kila idara inalamba ajira, pia anaendeleza yale mazuri ya mtangulizi wake, anajenga miundombinu ya barabara kila mkoa, anapeleka maji kila sehemu, kupandisha mishahara na kuwapandisha grade wafanyakazi, kuongeza bajeti ya kilimo pamoja na tarura.... Mimi naona yupo sawa japo na yeye ana mapungufu yake lakini anajitahidi sana.
Za wengine zipi! Hii thread ni unique ndo maana mod ajaiunganisha na nyingineYeye anatekeleza Ilani ya chama chake kulingana na bajeti sasa unataka abuni nini hicho ambacho hakipo kwenye Ilani .Kumbuka anayoyafanya ni kutekeleza ilani ya Chama tu hatakiwi kubuni jambo jipya.JPM aliyokuwa akiyafanya ilikuwa kutekeleza Ilani.
Halafu siyo lazima kuweka thread unaweza kusoma za wengine.
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]Kuna mbango yana picha kila kona ya nchi ni ya nani?
Pia picha yenyewe haipendezi hata kidogo
[emoji16][emoji1][emoji3][emoji2][emoji1787][emoji28]Kuna mbango yana picha kila kona ya nchi ni ya nani?
Pia picha yenyewe haipendezi hata kidogo
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]Amewapa DP World bandari tupige pesa
Mh???Hakuna jambo muhimu kwenye Nchi kama Kuongeza Minimum wages.
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji16][emoji16]Kauza Bandari.Kilimanjaro International Airport & Misitu yote kwa Waarabu.
"Pendo hasegawa"Kwangu chama chochote kikifa sawa tu, Cha msingi utanzania wetu.Mama Samia ni mzalendo wa kweli Sio yule mwenda zake
Kivipi?Kwangu chama chochote kikifa sawa tu, Cha msingi utanzania wetu.Mama Samia ni mzalendo wa kweli Sio yule mwenda zake