TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
R.I.P warumi!!Long tym wewe mama sijakuona hapa jukwaani. Nakusalimia. Msalimie warumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P warumi!!Long tym wewe mama sijakuona hapa jukwaani. Nakusalimia. Msalimie warumi.
Upendo unaoharibiwa na samiaNyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
NashukuruChawa uko vizuri 🙁
Anajua kuna mahala kwenyebteuzi zake hakuwa sahihi. Sasa matokeo ndo yanamsutaUrais katika nchi zenye mfumo wa Jamhuri kama ilivyo Tanzania, Ufaransa, Kenya, China, Afrika ya Kusini, Uganda na nchi nyingine nyingi sana: Ni alama ya Taifa, ni alama ya Mamlaka ya Juu ya Nchi. Kwa hapa kwetu Tz, Ni mkuu wa nchi. Ni Amiri Jeshi Mkuu, Ni mkuu wa serikali. Ndio mfalme/Malkia wa nchi.
Unaweza kufanya lolote linaruhusiwa na Katiba ya Jamhuri na sheria za nchi.
Kwanini Rais ajitetee anapofanya mabadiliko?
Mwenye mamlaka ya Juu hapaswi kujitetea wala kuonyesha majuto yake.
Asubiri, akistaafu, aandike kitabu na kuonyesha majuto na kujitetea.
Mkuu wa nchi anaingizwa uchochoro wa mateja halafu badala ya kuchukua hatua kwa kudanganywa ankuja hadharani kujitetea na kuwatetea waliomdanganya!!Urais katika nchi zenye mfumo wa Jamhuri kama ilivyo Tanzania, Ufaransa, Kenya, China, Afrika ya Kusini, Uganda na nchi nyingine nyingi sana: Ni alama ya Taifa, ni alama ya Mamlaka ya Juu ya Nchi. Kwa hapa kwetu Tz, Ni mkuu wa nchi. Ni Amiri Jeshi Mkuu, Ni mkuu wa serikali. Ndio mfalme/Malkia wa nchi.
Unaweza kufanya lolote linaruhusiwa na Katiba ya Jamhuri na sheria za nchi.
Kwanini Rais ajitetee anapofanya mabadiliko?
Mwenye mamlaka ya Juu hapaswi kujitetea wala kuonyesha majuto yake.
Asubiri, akistaafu, aandike kitabu na kuonyesha majuto na kujitetea.
Huyu mama ni janga la Taifa letu mkuu,wewe acha tu.Anawarudisha Chinjachinja kama Makonda.
Aisee sikujua kama msumbiji wana megawatt nyingi namna hiyo, nchi ya wadanganyika itakuwa inakwama wapi sasa kama inazidiwa umeme zaidi ya mara mia moja na msumbiji, wazee wa anaupiga mwingi njooni mjibu hoja huku...Tuna hasara sana
Sgr hadi leo holaa
Bwawa lenyewe halikamiliki
Mwendokasi chaliii
Umeme ndo usiseme
Maji ya shida
Ufisadi na upigaji tu
Uchumi mbovu
Vitu vinapanda hovyo tu
Nchi nzima mgao kila mahali tz nzima tuna megawatts 1500 tu tunazidiwa na Msumbiji wenye megawatts 185000 (laki na 85) wakati wapo milioni 30 tu sisi tupo milioni 62
Halafu kuna wajinga wanaimba anaupiga mwingi....Kwa lipi haswa? Hii nchi adui namba moja ni ccm
Sasa hivi umeme unafifia hapa hadi taa haziwaki halaf wanaimba anaupiga mwingi hawa watu ni wazima kweli?
Samia angejiuzulu tu hakuna kitu anaweza!!Tuna hasara sana na tuna bahati mbaya sana!!
Kuna watu hata uwenyekiti wa kijiji wasingeweza lakini mfumo umewabeba hadi wanapewa mamlaka kabisa
Tuna bahati mbaya sana