Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
- Thread starter
-
- #21
Asante sana mkuu nimepata point ya pili.Mkuu pia kumbuka wanajeshi wengi wa Tz ni standard 7 na form 4 failure hivyo ujue kiwango chao cha ujinga ni kikubwa-kumbuka unapofanya argument na MTU mjinga ufahamu madhara take na maamuzi take.nenda nae polepole huwa wachelewi kujitoa mhanga wote mkose.
Most if them they are stupid in nature.
Sasa wee sii uongeze kumpa hela zaidi maana mkeo anapenda helaNope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down
Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.
Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Mkuu upo kama Mimi hata huwa nkiingia bifu na MTU huwa nafanya kwanza uchunguzi kujua uwezo na mapungufu yake.Hii ni nzuri inakupa muda mzuri wa kuchambua na kujua kipi ni kipi.Asante sana mkuu nimepata point ya pili.
Point ya KWANZA : ni vicheche
Point ya pili: they are illiterate.
I am still doing intelligence gathering
Asante KWA taarifa. Nimepata fact ya tatu.Ooh kuhonga ni kawaida somo la uvumilivu wamefaulu ,kutoa mshahara wote akala shoo siku moja ili ,ateseke 28 zilizobaki sio kesi kwao hivo mke kapagawa na hilo tu , kiufupi makamanda wote ni team misifa
Yaani hao ndio wanyonge kwenye mahusiano! Wanateswa sana na mapenzi hao watu, asikubabaishe bhana.Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.
Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.
Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye biashara. Jamaa anatumia vi ration vyake kusumbua familia za watu.
Kwa uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo huwaga nawaona watu wa kawaida sana (kihela), so kwa mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.
Fanya mpango wa kumuamisha mikoa ya mbali kikaziNope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down
Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.
Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Nope nataka ni defeat akiwa aroundFanya mpango wa kumuamisha mikoa ya mbali kikazi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sijui huyu mwamba anakwama wapi.Kuandika tu uzi hapa unaonyesha kwamba umeshaingiwa na uwoga.
Mtu anatembea na mkeo halali napaswa kumchukulia hatua bila kujali cheo chake.
tofauti ya raia na askari kwenye mapenzi ni ipi?Nope this is not my mode operandi.
Mimi nataka kujua behavior ya wajeda kwenye mahusiano What do they do ? Wanahonga sana ? Au ? I just want to know this ili nijue natumia mbinu GANI kuicontain hiyo threat.
Wanahonga sana coz wengi wao hawajui mambo ya kupetipeti, kwao kupetipeti ni pesa.Nope this is not my mode operandi.
Mimi nataka kujua behavior ya wajeda kwenye mahusiano. What do they do ? Wanahonga sana ? Au ? I just want to know this ili nijue natumia mbinu GANI kuicontain hiyo threat.