Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Muwe mnayaona mapungufu ya keyboard mnayapotezea vinginevyo ombeni kazi baraza la mitihani mkaboreshe elimu yetu huko ,tuachane na hii mitihani ya kushade na pencil ( usijae nyembe).Najua vizuri kuliko wewe ,ila ni uandishi tu wa kutaka ujumbe ufike umeelewa mfuasi?
Sisemi Kwa ubaya ila wapo wengine baadhi wameunguaNope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down
Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.
Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Huyu akipigwa biti ndiyo ataharibu kabisaPiga biti ili ajue umejua anachat na mke wa mtu. Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Ndio afandeNajua vizuri kuliko wewe ,ila ni uandishi tu wa kutaka ujumbe ufike umeelewa mfuasi?
Nani ajae nyembe... Nyembe zinaishia mda 6 weeksMuwe mnayaona mapungufu ya keyboard mnayapotezea vinginevyo ombeni kazi baraza la mitihani mkaboreshe elimu yetu huko ,tuachane na hii mitihani ya kushade na pencil ( usijae nyembe).
Unapoteza muda mkuu.....kama ni mkeo usisubiri ...... Ongea naye uso kwa usoNope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down
Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.
Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Inaonesha huwezi kumwacha mkeo, ina maana huna uhalali wa kumfuatilia. Akigundua kwamba umejua kakusaliti halafu umeshindwa kuchukua hatua stahiki madogo watajipigia sana hapo mtaani..Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down