Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

inabidi useme kwa dalili hizo mbowe ana uhakika upi wa kushinda kesi.

vinginevyo bado sioni faida ya nyumbu kushangilia.
 
Lakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana,anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbele
leo ndio mara ya kwanza kusikiliza kesi mkuu!!!

hii huwa ni kawaida mahakamani,na mwisho watu huwa wanahukumiwa.
 
Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Nchi nyingine vijana wanaomaliza degree na first class au 2:1 wanaombwa kujiunga katika ngazi ya uongozi wa taasisi mbali mbali. Huko hakuna mtoto wa fulani hapana, unakaribishwa kwa maongezi kutokana na ufaulu wako.
 
We jamaa inamatatizo ya akili,udini tu

USSR
Lumumba mbona mnaparuana..
Mlionywa mapema.....
 
Kwani kesi imeshaanza kusikilizwa? Gaidi Mbowe ameshazikubali charges alizokuwa anazikataa?
 
Kwani kesi imeshaanza kusikilizwa? Gaidi Mbowe ameshazikubali charges alizokuwa anazikataa?
Karibu mkuu!Magufuli alifariki 17.03.2021.Alikuwa zaidi yako Kwa Roho.Lakini sasa hivi ardhi ya chato.Karibu sana
 
Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Achana na propaganda mulizo pandikizwa utotoni au makonda muislamu yule
 
Tulia unisome vizuri mlokole usikurupuke. Rudia kusoma nilichoandika.
Mwinyi alipishika uraisi alitaka alindwe na waislamu akapewa waislamu kilichomkuta diamond Jubilee alipigwa makofi na kiijana mdogo mjahidina. Muislamu sababu alipewa miislamu swala tano iliyopanda vyeo kwa kelele za kidini tu ohh tunabaguliwa kumbe elimu na competence zero akaishia kuwa Raisi wa kwanza kulambwa vibao hadharani tena na kijana mdogo muislamu kwenye hafla ya kiislamu
 
Shikamooo Lissu!!! Majuzi hapa kwenye Maria Space alimuelezea huyu afande kwamba aliwahi kukutana naye mahakamani na kumtoa jasho vibaya mno, na Lissu akasema tutashangaa atakapopanda kizimbani, kitu ambacho kimetokea [emoji12][emoji12]
 
Lakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana,anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbele

Kama mchezo wa draft, kete zinasogezwa unakula kumbe unatengenezwa uingie 18, mbele unakosa pa kusogeza kete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…