Disruptor1
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 139
- 388
Sasa hilo ni kosa lake,alishindwa kuchagua mke sahihi.Anayapitia
Ndio maana jogoo hatunzi vifarangaSasa hilo ni kosa lake,alishindwa kuchagua mke sahihi.
Jitahidi wewe sasa utafute mke sahihi ili usiwarisishe wanao chuki,ubinafsi na uoga kama unavowaza mda huu.
Familia ni upendo,furaha na amani haya maswala ya sijui mimi natoa nini yasikuumize kichwa mzee ni vitu vidogo na mwisho wa siku wanawake ni viumbe dhaifu waliletwa waje watuletee watoto na kula tunavyotafuta
Ndo hivoNdio maana jogoo hatunzi vifaranga
Mnanufaika na Kodi za meza ila mwanaume hanufaiki na chochote ni mateso😂kumbe kuna kunufaika!,, nilitaka nisiolewe ila wacha nikanufaike tu.
Mwanaume unanufaika nini?Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama nyingi zilizojificha; hapo mwanaume ananufaikaje?
Mwanaume atajitahidi kujinyima na kusomesha, baada ya miaka kadhaa kupita watoto wakiwa wakubwa watamchukua mama yao na kwenda kuishi naye, huku mzee/baba akitelekezwa; mbaya zaidi mtoto anaanza kukuimbia ''nanii kama mamaaaa..aaa'' bila kujua ya kuwa baba yao ndio aliyekuwa mpambanaji mpaka wao kufikia pale; hapo mwanaume ananufaikaje?
Baada ya kuligundua hilo, kwa sasa najipa raha mwenyewe.
Hata maandiko yamesema mbon,so vumilieni🤣Mnanufaika na Kodi za meza ila mwanaume hanufaiki na chochote ni mateso😂
Kumbee 😂Nyie ni km mitambo ya kutengeneza barabara mkiweka lami tu hamruhusiwi kupita mtaharibu
Mtwambie tu tulifahami hilo nini tunanufaika zaidiMwanaume unanufaika nini?
Ndo hivyo ni mitambo michache sana huwa inafaidi lami iliyoitengenezaKumbee 😂
Kumbe ndoa nayo ni ubadhirifu na hamniambii msitufanyie hivo jmn😂Mwisho Tunarudi pdle pale KATAA NDOA
Sasa sisi kama mitambo tutafaidi nini? Au michepuko?Ndo hivyo ni mitambo michache sana huwa inafaidi lami iliyoitengeneza
Mitambo yenyewe ni ipi hiyo🌝Ndo hivyo ni mitambo michache sana huwa inafaidi lami iliyoitengeneza
Unayajua nisaidie kuyaorodheshaMitambo yenyewe ni ipi hiyo🌝
Utamnufaisha nini mmeo?kumbe kuna kunufaika!,, nilitaka nisiolewe ila wacha nikanufaike tu.
kati tu, tena inategemeaMwanaume unanufaika nini?
Ni kukaa stoo msubiri kufa tuSasa sisi kama mitambo tutafaidi nini? Au michepuko?
Na hatukai stoo, tutapendeza na kuinjoy mpaka umauti utufike.Ni kukaa stoo msubiri kufa tu