Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Nimejitahidi kusoma komenti za wadau ili na mimi nipate kitu kuhusu hili,wengi katika comment wamewashupalia jamii ya Wachagga kwamba ni wabinafsi n.k. lakini in deep down wengi wa waliotoa komenti ni chuki tu binafsi dhidi ya jamii ya Wachagga na hakuna lingine. Lakini hili swala la kusema hilo kabila ni wabinafsi mara moshi ni pagumu kutoka kibiashara hamjaliangalia katika Angle zingine.

Kabla ya kuwadis Wachagga mmeshajiuliza haya maswali.
1.mfumo wa kiutawala wa kichaga wa mangi miaka hiyo ulikuaje?
2.je unazijua koo za kichaga zilizopigana na zenye mabifu hadi leo (lyamungo sec vs umbwe sec clash)
3.mshajiuliza kwanini sera ya ujamaa ya nyerere haikufanikiwa kupenya uchagani kwa asilimia kubwa? Ujamaa uliishia tu maeneo ya mtakuja,newland, chekereni and the like kule kwenye mashamba ya tpc. haukufanikiwa kupenya huku juu migombani kwenye ubichi ubichi throughout the year.
4.mmeshawahi kujiuliza Wachagga ni vita ngapi wamezipiga na jamii ya nilotes (maasai) kutetea kidogo walichonacho (ardhi).?
5.mmeshajiuliza ardhi ya uchagani ina ukubwa gani ukilinganisha na mikoa mingine?.
6.je mmeliangalia kwa jicho la kijiografia hili swala la ardhi ya uchagani ?
7.mnajua kitu kinaitwa KIAMBA SYSTEM Uliopo uchagani?
Anyway....

Mnapowadis Wachagga kwamba ni wabinafsi hiyo hali haijaamuliwa na utashi wa Kabila bali ni many factors ikiwemo natural ,socio, historical na geographical n.k. ambazo nyingine sio rahisi kuzielezea hapa maana watu humu wana comment mihemko tu pasipo kufanya fact check.
Tembeeni mfanye kuwauliza wazee kuhusu uchagani kukoje watakupa what is /was going on behind the scenes.
Hata kwenye biblia kuna mstari unasema tembeeni huku na huko mpate kuuliza...[emoji38][emoji38]. Tatizo wa tz tuna ile hali ya kulishana Matango pori sana kuhusu jamii fulani haswa ikiwa jamii hiyo ina ushawishi au imefanikiwa katika nyanja fulani ya maisha.

N:B ni ngumu sana kushindana na mtu mwenye exposure ya huko duniani .
Na hizi chuki za kuwadis Wachagga zimeshamiri sana kipindi cha utawala uliopita na wala hazina tija sana na hazitawarudisha nyuma jamii hiyo kwenye kuisaka hela maana kuna msemo unasema if you can't beat e'm join them.
TUPENDANE TU NA TUIJENGE TZ MOJA KUdiscuss ukabila kwenye zama hizi ni ujinga usio na maana yoyote
 
Fact
 
Well said
 
Wewe ni wa wapi na umewekeza wapi? Maana hayo unayoyaongelea hayapo moshi tu. Maeneo mengi tu nchi hii watu wanayaacha na kwenda kwenye miji mingine mikubwa na wanawekeza huko nyumbani wanarudi mara moja moja kusalimia.
 
Ni wezi, wabinafsi na wakabila. Ila huwa nawapenda kwa kitu kimoja tu, kutoruhusu wahindi wageuze moshi bombay. Yaliyobaki, nawaachia wenyewe.
 
Rombo ndio wamewauzia ardhi wakenya

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Una chuki binafsi.Jenga kwenu usitie aibu ukifariki.
 
Punguzeni ubaguzi na uchoyo.Watu wakijifunza haya yote yatawasaidia nini?
Japo mna mambo mengi mazuri watu wanawwza kujifunza ila ni wabaguzi nyie mbwa wacha mchambwe!!!

Kuna mdau humu anawachukua mno ila sababu mnajenga tu kwenu,hana sababu nyingine.Na yeye naye ana chuki ila nyie mna roho mbayaaaa
 
Ni ngumu mtu kuweza ku fanya fact checking kama tayari ana prejudices. Wengi ni wivu unawasumbua na wengine wao wamekaririshwa tu story za uongo.
 
Fanyeni kazi acheni lawama za kiree. Yani mkiona mchaga amefanikiwa badala muige mfano wa anayofanya mnabaki kuanza kutafuta lawama na maneno yasiokuwa na ukweli.

Kwa attitude hii mliokuwa nayo mtaendelea kuburuzwa na wachaga vizazi vyenu vyote. Sasa sisi wachaga tutanunua ardhi zenu zote mpaka hii nchi yote tuimiliki mbakie nyie wengine kuwa vijakazi wetu tu. Hakuna namna nyingine.

Ulishaona mchaga analalamika kwenye mikoa mingine? Je kwani wachaga hawapati ugumu wa biashara huko walipo nchi nzima? Ulishasikia malalamiko? Akiona mambo magumu hakalii kulialia anainuka anatafuta fursa nyingine mahali pengine.

Sasa mtu kwasababu ameshindwa kufanya biashara Moshi anaanza kulia kwani ni lazima ufanyie Moshi? Fursa zipo kila mahali na sio lazima ufanikiwe kila mahali, nenda tafuta mahali pengine.

Mnasumbuliwa na inferiority complex.
 
ONA USIJE UKAHUKUMIWA KWA CHUKI UNAZO ZIJENGA
 
Chuki dhidi ya jamii fulani huwa ni ya kurithi toka kizazi hadi kizazi... Hata wewe umezaliwa ukalishwa tu chuki kwamba Wachagga wabaya na jamii iliyokuzunguka ..na hiyo chuki usiobadilika utaingia nayo kaburini na hakuna ulichofaidi ...nitajie basi mazuri ya hilo kabila lenu basi
 
Yaani watu wame comment humu kwa hisia za mihemko halafu hata hawajawahi kutembea kujifunza....inastaajabisha sana yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…