Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Sijajisifu mkuu lakini acha wale jeuri yao mkuu [emoji28] mi mwenyewe siwaelewi, aiseee hawa mademu wanadharau hizo daaah tena wengi wawe wametoka familia ambazo portifolio inasomaga, au demu ashike milioni moja mbili daah.
Kumbe unawajua nje ndani. Ila sasa wanaface mabadiliko nadhani shida ilikuwa ni malezi. Maana Moshi daaah wanawake wa pande zile na Kilimanjaro kwa ujumla ni changamoto eneo la adabu.
 
shida inakuja kuwa waliobaki moshi kuna umaskini mkubwa wa kutupwa kule ajira hamna hata ya kuchoma tu mishikaki!! inabidi wakimbie waende mikoa
Sio kweli moshi biashara zinafanyika kila aina ndogo,za Kati na kubwa
Kuwekeza mikoa mingine ni kupanua wigo kila mkoa tupo na nje ya nchi
 
Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
Acha kuongea Pumba,haiwez kuwa rahisi kupata housgirl au baa maid kutoka Moshi ni asilimia chache
Ma housegirl wengi ni wa mikoa ya iringa na mikoa ya kusini
 
Umeongea point wanarudi kuzika tu tena wakikaa sana siku tatu
Kwhyo kule Hakuna maisha yanayoendelea? Acha uzwazwa takwimu za serikali zinatuambia Kilimanjaro 90% nyuma ya dar 92% Wana makazi Bora na maisha Bora,hivyo vitu havitokanan na kufanya kazi zinazozalisha?
 
Sasa kila mtu akisema aishi vile asili yake ilivyo tutaweza kuchanganyika na kuwa familia moja?!

Hapa watu wanakemea tabia za ajabu za jamii ya huko zinazozuia watu kujimix. Hayo mambo sijui ya vita na wamasai sijui Kyamba system ni mambo ya miaka hiyo kwasasa hayana umuhimu.

Kila jamii hapa ikisema ifuate asili yake na mifumo yake unahisi maisha ya watanzania yatakuwaje?!

So acha kujenga hoja kizee, hakuna mtu anachukia jamii ya wachagga ila kuna tabia mnazionyesha kwa jamii zingine ambazo si nzuri na ndio maana mnakemewa.

Ukiona unasemwa sana sikiliza kinachosemwa. Acha kuwa na ubishi hadi usisikie kinachosemwa na kujiona wewe ni maridadi dhidi ya wengine.
 
Ndiyo nimeona wanalalamika.Ndiyo,punguzeni roho mbaya na umimi.
 
Huyo jamaa Ana chuki za kipuuz na wachaga mpuuze
 
Sina kabila.
Ila wachagga wana ubaguzi mno.
 
Bwana wewe hebu acha kuwa hivi. Unakuza sana hii title ya mchagga kwakweli. Hapa hatusengenyi tunakemea tabia za ajabu walizonazo mbona rahisi sana.
 
Unazidi kujidhalilisha,MCHAGA akishajenga kwao hata ugenini pia anajenga yaani both
 
Huyu mnywa ulanz wa kalenga ni mbishi mno
 
Ukioa au kuolewa na mtu asiye mchaga kwa watoto kwao Ni wapi?

Maana siku hizi wachaga mnaoa Sana na kuolewa na makabila Mengine hao watoto kwao kutakuwa wapi? Na wajukuu watakuwa kwao wapi ?
Kwan hawana makwao?
 
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…