Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
 
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
 
Ukioa au kuolewa na mtu asiye mchaga kwa watoto kwao Ni wapi?

Maana siku hizi wachaga mnaoa Sana na kuolewa na makabila Mengine hao watoto kwao kutakuwa wapi? Na wajukuu watakuwa kwao wapi ?
Kwao uchagani tu, as long as kabila lao ni wachaga basi kwao ni uchagani. Ila wewe jamaa mbishi sana aise
 
Mkuu punguza chuki kidogo basii
 
Mkuu waache wajifariji tu.
 
Una kichaa na matatizo mengi sana na itakuwa huijui moshi kabisa, mchaga hawezi acha duka la mchaga mwenzake? BS, tunaishi huku na tunaona, acha kusambaza habari uongo na ukabila
 
Dah, mnasambaza uongo mazee, pale ghorofani mbona kuna wa rangi mob na wakinga pale.
 
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
Sipingi kuuza lakini serikali ndio ipime na kuuza sio watu binafsi au private real Estate .Kwa Moshi hapana .Mtu Binafsi na Private real estate companies Ni usumbufu unauziwa halafu wanna ukoo wengine wanakataa mauzo unaburuzwa mahakamani kesi itaenda miaka pesa imeondoka unabaki na mikesi mahakamani

Mikoa mingine Sina tatizo mtu binafsi aweza kuuzia au real Estate companies wakakuuzia hupati tatizo lolote.Moshi No no no no

Kama wewe chasaka au mtu usiye wa Moshi usithubutu waache wauziane wenyewe ila ikiwa Ni serikali hapo sawa.Halmadhauri ndizo zipime na kuuza sio individuals Wala real Estate companies.Kwingine kote It is ok sio Moshi.Abiria chunga mfuko wako usinunue ardhi kwa mtu binafsi mwenyeji Moshi au real Estate companies nunua tu Halmashauri Kama wana viwanja .Kuepuka usumbufu.
 
Kumfananisha mchanga na mzaramo ni tusi bro tulia basi
 
Umemaliza hizi ni chuki tu za kulishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…