Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Siku zote wahalifu na waovu hutumia mambo ya Mungu vibaya kuwadhulumu wengine.
Ila hueleweki umesimia wapi
Mara umsupport shusho ambaye si tu kamdhalilisha bwana wake bali ni pamoja na watoto wake aliowazaa na huyo mwanaume

Kama angekua ni mstaarabu angeachana na mme wake kimya kimya na sio kutumia umaarufu wake kumdhalilisha kwa sababu yeye sio wa kwanza kuachana

Unavyosema nililazimishwa inamaana kwa miaka yote hiyo kwenye ndoa alikua anabakwa na mme wake ambaye yeye alikua ni mtumwa ila nilichokuja kukiona kwako unaakili ndogo sana

Assume mama yako aje atumhumu baba yako leo kwamba alikua mtumwa kwake wewe utajisikiaje
 

Mkuu hoja ya nini Shusho alipaswa au hakupaswa kuongea ni hoja nyingine ambayo ipo nje ya mada. Hapa tunajadili ambacho ameongea,

Kuhusu kumdhalilisha mumewe hiyo ni hoja nyingine inayojitegemea lakini ni matokeo ya jinsi yeye alivyodhalilishwa kwa kulazimishwa kuolewa bila ridhaa yake. Kama alivyoeleza.
 


Ni kweli kabisa.
Mwanamke katika umri Mdogo huwa hafurahii mapenzi kabisa hadi atakapo get matured ikiambatana na other factors.
 
Ni kweli kabisa.
Mwanamke katika umri Mdogo huwa hafurahii mapenzi kabisa hadi atakapo get matured ikiambatana na other factors.

Îñgawaje hakutakiwa kujieleza kwani haitakuwa nzuri kwa watoto lakini kwa vile maji yamemwagika sisi tunajadili kilichopo
 

Labda ukute binti malaya Pengine kaanza kuliwa tangu darasa la 4 , vibinti vya kiswahili.
Lakini the genuine daughters ambae amejituliza kabisa akajiweka mbali na mahusiano na wanaume chini ya miaka 28-30 wengi hawa enjoy sex . Wanatumika tu wanaume wamalize Basi.
Ndio wanaume nyie ni mashahidi wanawake wengi kwenye ndoa hadi mfanye kukulu kakala ndipo akupe unyumba vinginevyo visingizio kama vyote.
 
Na Sasa akishaanza kwa kuona kama hakutendewa haki hata kuja ku adapt kwa Mwanaume huyo huyo inakuwa ni kazi kubwa itakayochukua muda mrefu na Pengine isijekutokea.
Wanawake wengi hata hawafikiagi orgasm.
Hawasemagi kweli kwa wanaume zao ili wasijisikie vibaya.
 


Sasa hapo akijapata Mwanaume ambae nae ni matured, chemistry ikakubali aaaah sipati picha huba zake zitakavyokuwa 👌👌😍
Si unakuta hajawahi kupenda maisha yake yote basi weee 😛 anapenda kufidia pale palipopotea muda.

Yaani huba hizo unakuta kwa mumewe hakuwahi kuzionesha sababu hakuwa na hisia naye.

Mapenzi matamu yakiwa enzini.
 
Hio ni fantasy
 
Wakati unapooa unachowaza ni mtu wa kukufulia au kukupikia?
Unajua maana ya Mke?
Yaani akili za watu wengine shida. Kupika na kufua si anafanya mtu yoyote tu . Unaweza ajiri mtu wa kupika na kufua. Wanawaza kupikiwa na kufuliwa na wake zao kwenye karne hii.
 
Kwa ufupi wanawake wengi huolewa kwa sababu ya umasikini, kupenda slope(kulelewa), maneno ya walio wazunguka na misukumo ya kiumri.
Hiyo ni fact. Na hakuna mwanamke anayefurahia eti kufua nguo za mwenza wake kila siku, ni vile tu hawana namna
 
Duh! Kazi kweli kweli ..... anyway Kila mtu atavuna anachokipanda.
 
Mtoa Mada , Naomba uniambie Mwanamke ameelezewaje ( awe vipi ) kwenye Familia ? Tumia Biblia


Na Mwanaume Ameelezewaje ( Awe Vipi ) kwenye Familia ? Tumia Biblia



Kwanini nimekuambia Biblia , Ndio Neno la Mungu Muumbaji ....

Mtoa Mada , Naomba uniambie Mwanamke ameelezewaje ( awe vipi ) kwenye Familia ? Tumia Biblia


Na Mwanaume Ameelezewaje ( Awe Vipi ) kwenye Familia ? Tumia Biblia



Kwanini nimekuambia Biblia , Ndio Neno la Mungu Muumbaji ....
Biblia tena, si kila mtu anaamini unachokiamini mkuu.
 
Hoja Ulizoandika kwa sehemu kubwa ni sahihi lakini sidhani kama unauthibitisho wa kutosha kuhusisha ndoa ya Christina Shusho katika mazingira uliyoandika.
Amesema mwenyewe aliolewa akiwa mdogo bila maamuzi yake mwenyewe.
 
Asili ni nini kwani?
Sheria za mila na tamaduni sio asili ni mapokeo.
Hizo elimu mlizipatia wapi?
Ukiangalia wanyama na ndege wana tabia tofauti tofauti. Kuna wanyama na ndege jike linatongoza dume. Kuna ndege na wanyama dume kazi yake ni kuzalisha na hahangaiki na kutunza watoto. Mfano simba , kuku etc. Sasa sijui asili wanayoisema ni ipi?
 
Yeyote aliyeweza kuvumilia matokeo mabaya ya timu ya Simba mpaka Sasa naamini ndoa hataitamshinda kamwe!🤣🤣🤣
 
Na kwanini umfokee mkeo? Why msielekezane kwa upole etc.
 
Hongera mkuu
Huyu jamaa nimemshauri aachane na mada ambazo zinamzidi uwezo

Masuala ya ndo Hana maarifa nayo kabisa
Amedhirisha ujinga wa Hali juu
 
Usitupotoshe na kupotosha mantiki ya uumbaji!
Mwenyezi Mungu hakukosea kuwaumba wanawake na wanaume na kila mmoja akamsheheni nyenzo na vipawa vya kumwezesha kuishi kama alivyoumbwa.

Na wala hakukosea kuumba vidole vikiwa na urefu na unene tofauti katika mkono, kwa kutambua kuwa kila kimoja kina kazi na nafasi yake katika mwili. Ndoa ni taasisi iliyokamilika na yenye mpango na utaratibu maalum kutegemea na imani yake kidini, na kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…