Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Kwa hiyo kwa uelewa wako, Mwanamke hana maamuzi wa nani ampende na amwoe?

Kwa uelewa wako mwanamke hana maamuzi na haki ya kudai talaka?,

Kwa uelewa wako mwanamke hana haki ya kupigania ndoto zake?
Kisaikolojia mwanamke hapendi ila ana submit sehemu anapopata matunzo. Asipokuwa makini na tamaa zake atajikuta ana submit kwa kila mwanaume ambaye ataonyesha kumjali kitu ambacho kinatokea sana miaka hii wake za watu kutombwa hovyo sababu ya kujiaminisha wanajua kupenda. Kupenda ni kazi ya mwanaume sio ya mwanamke.

Mwanamke huwa hadai talaka, ni ukoo wake au familia yake napo ni baada ya kujiridhisha kuwa binti yao hatendewi haki na yupo kwenye hatari za mahusiano. Kinyume na hapo kuna wanawake wanaomba talaka sababu amerubuniwa na mtu huko nje amuache mume wake sababu ya tamaa na hakuna baya ambalo mume wake amemtendea. Kwenye situation kama hii familia zikikaa zitajua wazi huyu mtoto wao hana akili sawa sawa na watamkemea tabia zake mbovu atarejea kutumikia ndoa yake kwa mujibu wa kiapo alichokiingia kwa mujibu wa imani yake.

Unaposema ndoto unakuwa na maana ya mtu ambaye amelala so anaota. Mimi nakuuliza swali, unahisi mwanamke ndani ya ndoa hana majukumu ya kufanya ambayo yanamuhusisha yeye, mume wake na watoto, kama biashara, kusimamia malezi ya watoto, kupanga na kutekeleza mipango ya muda mfupi na muda mrefu ujao ya familia, hivi vyote unaona si lolote?

Vipi kama ndoto ya mwanamke ni kuwa Dubai kwenye five stars hotel na kijana au mwanaume tajiri mwenye six pack. Au vipi kama ndoto yake ni kufungua kampuni ambayo kiuhalisia ni pipe dream na inataka uwekezaji wa mabilion ila tu sababu yeye ametamani sasa anaona mume wake na ndoa ni kikwazo hivyo anataka kuachana ili akimbize ndoto, ndoto gani ambayo inakutaka kuachana na rafiki yako uliyeambatana nae kwa zaidi ya miaka 20+ na mnawatoto tayari, hizo akili kweli?


Nadhani kuna vitu unatakiwa kujifunza kabla ya kuzungumza ili uweze kubalance hoja zako ziweze kumulika uhalisia na sio kuleta hoja zinazowakilisha akili ya mtu ambaye bado yupo katika ukuaji (immaturity).
 
Christina ni malaya wa muda mrefu sana... Baada ya kuachwa na kufukuzwa na mumewe ndio saahizi anatafuta huruma ya raia... Ashajiozea hafai tena uzuri mume wake alishituka mapema
 
Mwamba anataka wanawake nao wawe wanatongoza kama wanaume na wawe wanapanga tarehe za harusi ndo uhuru anaouongelea
Sisi wanaume hizi tabia wala hazituathiri, tunafaidikia sababu tunakuwa na K nyingi za kutomba huku mtaani. Imagine kila mwanamke akikimbia ndoa yake, bado huko mtaani masingle mother, bado vifom6, bado mabeki tatu, ndio maana wanaume kuoa miaka hii ni kujifunga na kuwa ndani ya mateso ya kisaikolojia wakati raha zipo nje ya ndoa wacha tutombe hadi basi tufuraie ujana hadi miaka 80 huko ndipo tunatulia tukivuta tumbaku na kunya kombucha ya asili huku tukisikiliza nyimbo za taratibu za jazz ya miaka ya 1980 hadi 90 za kutoka ulaya na America huku tukitazama jua likizama.

Raha ilioje hii.
 
According to katiba ukiolewa ukiwa na 18 yrs hapo umeolewa kwa ridhaa yako.labda useme aliolewa akiwa na 14 au 16 yrs
 
Naam.

Sheria nyingi za dunia hasa za ndoa nyingi zipo kitapeli na kidhulma.
Mfano, sheria ya Wake wengi alafu muda huohuo hakuna Waume wengi.
Kwa sisi Watibeli tunaita huo ni utapeli
Watu Huish kulingana na mila na taratibu,sidhani kama ungezaliwa kwenye uislam ungesema hivi.Na hapa unamzungumzia Tina kwani aliolewa Mke wa 2 au jamaa alikuwa na wake 2???
 
Christina ni malaya wa muda mrefu sana... Baada ya kuachwa na kufukuzwa na mumewe ndio saahizi anatafuta huruma ya raia... Ashajiozea hafai tena uzuri mume wake alishituka mapema
Enheee mkuu mbona kama unataka kuleta kitu kipya? Kwamba huyu manzi aliachwa na sio yeye ameacha??
 
Huwezi pingana na asili uliyoikuta ndo anachoribu mleta uzi
Kabisa. Watu wameishi karne na karne zaidi ya miaka 5000 sasa Ndoa inaonekana kwenye kila kizazi cha watu walioishi, halafu leo kanazaliwa kabinti ka mwaka 1970,1980,1990,na 2000,mtoto mdogo wa juzi, anachallenge ancestors kuwa walikosea sana kusema ndoa ni muhimu.

Mtu anabishana na watu wazima, mababu na mabibi waliowahi kuishi na kurithisha taaisisi hii nyeti kwa vizazi vyote ila yeye ndie anajiona sasa ni muhimu na anajua zaidi ya wote hao.

Hawa dawa ni kuwaacha watajifunza kwa matendo. Ni bora kujifunza ukiwa mjinga utafaidika kulikoni ukijifunza ukiwa mpumbavu utaumia sana na hakuna utakachobadilisha.
 
Kwani kosa liko wapi Sheikhe?
Kwani ni mambo mangapi wamekupangia na umefanya?
Tukianzia na Mamaako(mke wa baba)
Rais Samia, Spika Tulia, n.k. na waalimu wote wa kike, manesi, na madaktari wa kike.

Mantiki ya hoja yako ni ipi?
Ana maanisha kuwa wewe ni wale tunaita emasculated males yaani character yako ya kiume imechakachuka, haupo imara unaongea mambo kirahisi sana.
 
Tina amenogewa sehemu. Bhagishage bhana Kahama ghuku.
 
Asili ni nini kwani?
Sheria za mila na tamaduni sio asili ni mapokeo.
Hizo elimu mlizipatia wapi?
Hizo mila na tamaduni hazikutokea tu vaaapu kama ushuzi. Ni matokeo ya kujaribu, kufeli, kujaribu tena na kufanikiwa ndipo mtu akafanikiwa kuona matokeo salama ya kufuata.
 
Mpinga kristo ni wale wasiotaka ukweli na wanaopinga Haki.
Huyo Christina keshakuambia Ndoa alilazimishwa sasa wewe unataka kusemaje?
Hapana, mpinga kristo ni yule anayepotosha ukweli na kusema mambo kutokana na fikra zake za kibinadamu.

Kama wewe hapa unamtumia Christina shusho kama mfano wa mwanamke ambaye hataki ndoa sababu ni mateso ila sijawahi kuona umeelezea kilichotokea kwenye ndoa kwa mujibu wa maelezo ya mume wake wa Ndoa. Je wewe unaishi nao hadi uwe shuhuda?

Au wewe ni mgeni na mwanamke?

Anaweza kudate na wewe akiwa bikra kisha ukimtoa bikra uoga na ushamba wa mapenzi ukaisha akakukataa kwasababu amekutana na wajanja wa mjini wanaotaka kumuonyesha mji na vilivyomo, na watu akimuuliza why umemuacha Robert Heriel Mtibeli atasema sababu kadha wakadha za kukusingizia uonekane wewe ni mbaya na ni halali kwake kuachana na wewe.

Ulipokosa pesa sababu ya ugumu wa uchumi yeye atasema ulikuwa ukimnyima matunzo na ulikuwa unapeleka kwa wanawake wengine kwa kificho. Ulipochoka na kushindwa kumpelekea moto atasema ulikuwa na wanawake zako huko nje uliwapa wao yeye ukamnyima, haya yote atasema akiamini ni ukweli hadi anasahau kuwa yeye ni muongo anapanga njama za kukukimbia ili apate uhuru wa kuwa na wajanja wa mjini.

Ninachotaka kusema ni kuwa unahisi unawaelewa wanawake vizuri ila ukweli ni kuwa mwanaume anayewajua wanawake vizuri huwa anakaa kimya akiulizwa kuhusu mabaya ya wanawake maana anajua atamvua nguo hadi mama yake. Ndio busara anayotumia huyu mzee shusho kwa huyu dada.
 
Tatizo Watu wanataka mapokeo yao ndio yaitwe asili jambo ambalo sio sahihi.hqwi
Yanaweza kuwa ni asili kama walioyatoa hayo mapokeo walikuwapo tokea enzi na enzi.

Wewe mbona unaamini ni mwanaume na si mwanamke, si kwasababu una mapokeo ya taarifa za wazazi wako na waliokulea kuwa wewe ni mwanaume, na haukuwa ukijua hilo hadi ulipofikia umri huu wa sasa.

Wazazi wako wangesema wewe sio mwanaume amini nakwambia ingekulazimu ukubali wewe si mwanaume sababu maneno yao yangeshape namna unavyojitambua.

So ni sahihi kusema mapokeo ni asili sababu ni matokeo ya kumbukumbu za vizazi kadhaa nyuma yetu, hayakuanza jana. Ni maneno ambayo hata wazazi wetu waliwasikia wazazi wao wakisema waliyasikia kwa babu na bibi zao, sasa hiyo kama si asili tuiteje? [emoji848]
 
Unaccho Sema ni kweli ila wanawake wengi hawaolewi na mtu wanaye mpenda Bali wanaolewa na mtu wanaye fikiri anaweza kuwa towa kwenye umasikini. Wanawake wengi hawataki kufanya kazi. Wengi wanafanya kazi kwasababu Hawana namna nyingine. Wanawake hawaolewi kwasababu ya mapenzi waolewa kwaajiri ya kutafuta security au kutafuta mtu kuchukuwa nafasi za baba zao.
 
Tuanze kuimbaa

''Mtetezi wangu Yesuu!!! Anaishi leoo!!!,
mtetezii wangu yu-haii!.''


Au basi twende na hii

''Mungu alipo-muumba Adamu!!,
hakumuacha awe pekee yake,
akamfanyia na msaidiziii!!,
wakuu-fanana nayee!!''

Dj.. Dj..
DJ aache nyimbo mpaka mwisho hatutaki kuchukuchu.
 
Kwahiyo mfumo wa asili unasema mwanamke leo aseme ndio nimekubali kuwa mke wa fulani halafu miaka kadhaa aamke kama mwenda wazimu aseme nilikuwa kifungoni nataka kuwa huru nikatombwe na ninae mtaka, umri ukiwa umeenda, kweli?
Yule mwamba wa Mwanza wameshasahau alichokifanya na yule mwamba wa kigamboni aliyemtia mwanamke kwenye tanuru la mkaa, wanaanza kuleta chokochoko.
 
Mkuu, hata wanawake wanaochukuwa vi-beni teni nao wanakumbana na matatizo kama haya. Ki-ben teni kikijikomboa kiuchumi au kikijanjaruka lazima wakumbane na hili.
 
NAKAZIA
 
Mwanamke anayejua haki zake ni yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…