Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Hiyo paragraph ya pili hawezi kuielewa mtoto mdogo huyu.
 
Ameen brother, keep on preaching mzee.
 
Ndio umeandika ujinga gani...!
Aisee nilikua najua umevurugwa kumbe ni kichaa kabisa
 
K Kwa hiyo, binti mwenye miaka 19, aliyehitimu kidato cha nne, akaolewa na mchungaji mtu mzima, akazaa watoto wawili na kuwalea, akawa maarufu dunia nzima, akaishi kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 20, akaingia kwenye menopause (ubibi) ndio akagundua alikuwa ni mjinga kuwa kwenye ndoa, kipindi chote hicho aliishi kwa utumwa kwa kulazimishwa kuwa mwanandoa!

Huyo mwanamke tunaweza kumuelewa?
Tunaweza kumuamini?
Tuje tumtetee?
 
Umeonaje maisha yao na ufanisi eneo la ndoa na mahusiano baada ya kufanya udaktari na urubani.
 
Sasa ndio wanawake hawawezi hiyo kitu, wewe mbona haujielewi unachoongea wewe? [emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli ukitaka usieleweke kama wanawake ongea vitu vyao. Yaani wenyewe wanawake wanakiri kwamba hawajui wanachokitaka, wewe unatoka huko utokako unakuja kutetea upuuzi wa kiumbe ambaye hajui anachotaka.

Kwahiyo ndoa ikiwa haina furaha tatizo linakuwa ni mwanaume na umeishi nae miaka 20?[emoji848] Hivi ukose furaha kwa miaka 20 usiwe kichaa? [emoji848]

Me nadhani kuna vitu haujavisikia kutoka kwa mume wake akivisema utakuja kufuta huu uzi wewe subiria.
 
Wewe mwenyewe unakiri kuwa haujui sasa kwann mwenzako asitumie neno "inaonyesha" kwenye maneno yake kumaanisha hajapata mrejesho wa moja kwa moja wa walengwa ila inaweza kuwa tofauti kulingana na viashiria anavyoviona hapo.
 
Asili ni pamoja na mambo yale ambayo yapo nje ya uwezo wangu yananiendesha siwezi kuyacontrol.

Mfano
mwanaume kutokuishi kwenye misingi ya usawa na mwanamke.


Men are superior to women.
Sio kwa kupenda ila ni asili.
Point kubwa sana hii.
 
Eti analalamika kupikia wanaume wengi? Hivi kupika na kutafuta cha kupika ni kipi kigumu? Yaani wanawake wa siku hizi wanataka mwanaume atafute pesa na akirudi nyumba awapikie na ku walisha kwa uwabebeleza. Halafu mkiona wanaume wa naamuwa kuwa wanawake mnalaumu wazungu. Ila hamlaum wazungu kubadilisha wanawake kuwa mizigo kwa waume zao.
 
Kwahiyo mfumo wa asili unasema mwanamke leo aseme ndio nimekubali kuwa mke wa fulani halafu miaka kadhaa aamke kama mwenda wazimu aseme nilikuwa kifungoni nataka kuwa huru nikatombwe na ninae mtaka, umri ukiwa umeenda, kweli?
[emoji16][emoji16]
 
Whatever the situation.

Ila kwa hali ya sasa hivi, kutoka kuoa binti wa miaka 19/20 lazima litakukuta jambo huko mbele.

Uta furahia hyo pussy ikiwa tight/ya moto kwa miaka 5 baada ya hapo ndo utajua ulikua mnyanyasaji tu kuchukua kiumbe kisicho weza kufanya upembuzi yakinifu wa nini kinataka
 
Kumbe kuna upendo wa kweli? Upoje huo na unakuwaje?
 
Ndoa inatakiwa ije na version mpya jamani hii ya zamani ipo outdated sana....haikidhi wala kuendana na nyakati za sasa.
Yaani ni sawa na kusema wanawake waanze kujichubua kwasababu wanaume wanapenda wanawake mashombe shombe na weupe.

Yaani tuache mbachao kwa msala upitao? [emoji848]
 
Kudumu kwenye ndoa haimaanishi kuwa kuna la maana mnafanya. Kuna watu wanadumu kwenye ndoa sababu ya ufanano wa tabia na wamekubaliana kuishi hivyo na haiwapi stress.

Unakuta mwanaume ni mzinzi na mwanamke ni malaya hawa wakiridhika kuishi pamoja ndoa itadumu sababu hakuna anaemchukia mwenzake kwa tabia ambazo hata yeye anafanya.

Kuna wengine yeye mwizi na mkewe mwizi hakuna anaemuona mwenzake ni mbaya maana wanashare passion ya wizi hao wakiishi na kuridhiana watadumu na kuteteana kwenye matukio yao.

Hapo umeongelea Dereva wa basi za mkoani na mke Barmaid. Sijui kama unajua mazingira wanayoishi watu ambao hufanya hizi professions mbili. Bar maids huwa analala na wanaume tofauti kila siku au kila wiki kulingana na mazingira ya kazi yake na ni ngumu mwanamke akae Bar halafu asitombwe na wanaume tofauti. Ni ngumu Bar maid kuolewa na mtu anayetaka mke wa pekee yake.

Same kwa Dereva wa gari za mkoa, huko njiani lazima awe na kazi za kutosha maana muda mwingine anakuwa hayupo nyumbani hata miezi 6 anafanya kupiga tu simu kumsalimia mkewe na kujulia hali watoto na kutuma chochote kitu kama anacho. Hapa ni ngumu kwa Dereva kuwa na mke ambaye hataki kushare mume wake au mke ambaye anataka kumuona mwanaume wake kila jioni.

So hao lazima wataishi vema maana mwanaume akisafiri hii miezi sita anajua kabisa mkewe huko ni "Paka kuondoka Panya kutawala" na huku yeye anajua anatembeza dudu la yuyu kwa mademu ile ile kiasi kwamba wakikutana na mkewe hawaulizani ulikuwa na nani huko, wanaendelea na habari zingine. Maisha yanakwenda na wanadumu miaka na miaka.
 
Miaka 20 ya ndoa, huyu kalazimishwaje kuishi na mtu miaka 20,miaka 20 alikuwa akitombwa hapati raha? [emoji848]
 
Tanzania hatuwahi kuwa utumwani ila ni ukoloni. Ukoloni haulazimishwi kufanya kazi ila unakuwa chini ya mamlaka ya taifa lingine kama mfanyakazi anayelipwa hata kama ni kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…