Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Mkuu kuna point nakazia hapo.
Mwanaume anayetafuta mweza wakuishi nae kwa misingi ya kupendwa mara nyingi huwa anafeli

Kwasabab mwanamke hapaswi kumpenda mwanaume ili aishi nae
Bali ni kumheshimu kunatosha.
 
Nimeshuhudia watu wawili watatu waliooa vibinti vya form two baada ya kuvitia mimba na kulazimishwa kuvioa, baada ya muda mabinti wale walisomeshwa na Waume zao hadi kupata kazi, vingine vi ness, vingine vi ticha, baada tu ya kupata kazi vimetelekeza waume na watoto... ndukii
 
Wote ni watumwa hakuna mwanadamu aliyekua huru kwa asilimia 100 tunatofautiana viwango tu vya utumwa

Wewe mwenyewe una uhuru kwa asilimia 100 unauhuru wenye mipaka
Nadhani mpaka hapo tumekubaliana kwamba miaka 20 kuwa mtumwa inawezekana na si jambo la kustajaabisha!
 
Ki ukweli huyu dada nami nilikubali sana kabla hajaanza hata kuimba
Tulikuwa tunashiriki naye kwenye huduma moja Dar ikiitwa New life crusade
alipoanza album yake akawa maarufu sikumuona tena akihudumu kwenye semina na mikutano
mbali mbali nikajua amezidiwa na huduma,sasa naona huduma zimeongezeka,nipo njia panda
nashindwa nimtakie kila la kheri, au nimshauri arudi nyumbani
 
Ferminism imealibu akili za watu yaani gender roles wanasema ni utumwa. Mbona mwanaume anawekwa mbele kwenye kazi ngumu na za hatari lakini hawasemi ni utumwa.
 
Kinyume cha mtumwa ni bwana, kwa tafsiri yako ya utumwa, ni heri kumwoa mtumwa kuliko bwana mwenzio. Fahali wawili hawakai zizi moja.
 
Mkuu naona unatoa maelezo bila ya Fact. Hapa tunazungumzia facts sio porojo
Robert wewe umeleta andiko, Sasa nakuuliza swali 1, Christina ni mKristo na Rejeo lake ama Msingi ni BIBLIA TAKATIFU,

Hayo uliyoandika wewe ni Kwa Msingi upi? Reference Yako ni Nini?
Siyaoni katika BIBLIA TAKATIFU.

Umesema hakuna facts ila kusema Mwanamke anayechepuka hakupendi.

Kijana kijana 🤣🤣🤣🤣🤣.

Kama asingeolewa na Mzee Shusho basi kuna uwezekano angekuwa mtu mbaya kuliko alivyo Sasa.

Kwanini nasema hivi?

Kujiinua...
 
Point kubwa sana hii
 
Hii mada umeiandika kinyume nyume. Ukija kuishi na mkeo kwa mawazo haya utapata taabu sana, wanawake wenyewe hawapendi kuishi na wanaume wenye mawazo kama ya mtoa mada...! Tambua kwamba "feminine" inahitaji "masculine" ili mambo yawe kwenye mlingano. Mawazo na falsafa zako ni za kifeminine zikikutana na za mkeo ambazo nazo ni feminine, hapo mzani unaegemea upande mmoja balance inakosekana
 
Naam ndo maana sisi Kataa ndoa hatutaki kabisa kujihusisha na hicho kifungo. Kila mtu aishi kwa uhuru na kwa kupenda sio tufungamane tuanze kuishi kwa sheria na maelekzo!
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…