Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Umekosea mkuu
Kuna makundi mengi yamenufaika na rais na yameona mchango wake
Pia kuna makundi ambayo hayajaona mchango wake.wote hatuez kua sawa
Mfano
Mkulima kapata mbolea ya ruzuku
Mazao kafikisha mpk sokoni barabara ikiwa safi tokea eneo lake
Sokoni kakuta bei imeongezeka samani..wazani huyu mkulima atamchukia rais?
Watumishi wa uma nao ivo ivo mishahara na vyeo vimepanda wazani nao wAtampinga rais


Ajabu sana kuna watu wanamtetea huyu mtoto hawaioni tofauti ya wao na yeye.

Always wamechanganya mahaba ya vitu visivyowasaidia lolote kwenye maisha yao hawa wawili ITR na zous wakimtetea samia hawamtetei kwa sababu ni uhalali wake kuwa raisi wanamtetea kwa mrengo mwengine kabisa.
 
Watu wanatuhumu kwa sababu ni kujihatarishia maisha yako kuanza kuhoji masuala kama hayo...
Lakini vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama vingekuwa huru, basi tungetumia hio njia unayopendekeza ya uchunguzi kufanyika...

Lakini this is Tanzania bro... acha watu wanong'one maana vyombo husika vimeshindwa kufanya kazi yao, kwa nchi za wenzetu ungesikia huyo Abdul anahojiwa...
Basi hayo yote yanatakiwa kubaki kama uvumi tu na sio tuhuma kamili maana hakuna uhakika wa kinacho semwa.
Kipindi cha kikwete kulikuwa na tuhuma nyingi kuhusu Riziwan ambazo badae ziligundulika kuwa ni uongo.
 
Mtu mwenye elimu hawezi kuparamia kitu bila kupata ushahidi tosha iwapo ni la kweli au sio kweli .
Tabia za kurukia uvumi usio kuwa na ushahidi ni tabia za wapumbavu.
Hata kipindi cha kikwete uvumi ulikuwa mwingi maana kila ghorofa iliyo kuwa ina jengwa ,masheli yo yalikuwa ya Riziwan.
🚮🚮
 
Acha usenge hakuna asiye jua kutukana tumia lugha ya sitaha hapa tunajadiliana hatugombani.
Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio sio lazima kila mtu awaze au angamue mambo kama ww na ndio maana ww unamhusudu Netanyau hali ya kuwa mm namuona kama mtu muovu kuwahi kuwepo hapa duniani hiyo ni mitazamo tu.

Watz wote ww bibi yako na mama yako huko kijijini wanamjua hata huyo Abdul kabla ya kuhoji utajiri wake?
Kwani huyo samia ana mtoto mmoja tu Abdul hana watoto wengine mbona wao hawaishi kama huyo Abdul au wao hawapendwi na mama yao?
Kinacho hitajika leteni ushahidi wa tuhuma zenu basi mengine ni porojo tu.
Kwa ujinga wako unahisi wewe na mumeo pekee ndiyo mnamjua au yeye ndiyo mtoto wa Rais pekee? ushahidi wewe ni mahakama? shetani mkubwa wewe
 
Jeshi kazi yake kusimamia Katiba na Kulinda nchi ila nchi inachezewa wao wapo tu. TISS huwa hawana kazi yoyote mbele ya jeshi
Inasikitisha sn km haya tunayoyasoma humu ndo hao waliopaswa kulinda nchi na rasilimali zake plus Raia ndo wako mstari wa mbele kuhujumu🥲🥲
 
Hapa Tz kuna Watz wangapi wanamiliki magari ya bei mbaya kuliko hata hilo je unajua biashara zao?
Leteni ushahidi acheni uvumi maana hata mungu amehamisha uvumi kwa sababu umejaa maneno ya uongo.
Hakuna anaemiliki gari ya gharama kuliko ya mtt wa ris Kwa sasa
 
Kwa ujinga wako unahisi wewe na mumeo pekee ndiyo mnamjua au yeye ndiyo mtoto wa Rais pekee? ushahidi wewe ni mahakama? shetani mkubwa wewe
Ww mlamba mavi ya Netanyau ,kwani ni razima aishi kama wanavyo ishi watoto wa maraisi wengine?
Ww maisha unayo ishi ni sawa na wanayo ishi wengine?
Tafuteni hela hizi bwabwaja zenu ni sababu ya umasikini ndo unao wasumbua.
Ww kama unaona Abdul anafaidi nenda akuoe ili ufadi yane.
 
Hakuna anaemiliki gari ya gharama kuliko ya mtt wa ris Kwa sasa
Ya kwamba Tz hakuna gali kama hilo lipo moja?
Alafu ww unashangaa gari ya bilion2 wakati watu wanamiliki majumba ya mpaka bilion 20.
 
Ww mlamba mavi ya Netanyau ,kwani ni razima aishi kama wanavyo ishi watoto wa maraisi wengine?
Ww maisha unayo ishi ni sawa na wanayo ishi wengine?
Tafuteni hela hizi bwabwaja zenu ni sababu ya umasikini ndo unao wasumbua.
Ww kama unaona Abdul anafaidi nenda akuoe ili ufadi yane.
UWT hata kiswahili kinakushinda, hopeless kabisa. Wewe unaishi maisha ya Abdul au wewe na mumeo mnaishi ordinary single room?
 
UWT hata kiswahili kinakushinda, hopeless kabisa. Wewe unaishi maisha ya Abdul au wewe na mumeo mnaishi ordinary single room?
Nimesikitishwa sana na huyo mpumbavu jinsi alivyomtetea Abdul mwanzo mwisho kwenye hii mada, tena kwa hoja ambazo hazina kichwa wala miguu, mara analeta reference ya Ridhiwani... mara anaruka ruka kusema sijui watu wanamiliki majumba ya 20b tusishangae ya abdul kumiliki gari ya 20b... yaan utetezi wa kipumbavu kabisa.

Cha ajabu unakuta jitu kama hili wala hata halipo kwenye cycle ya Abdul, na halinufaiki chochote kwenye hayo mabilion anayokwapua Abdul, ila limeamua tu kutetea kwa sababu za kishenzi kama za kidini au uchama.
 
Back
Top Bottom