Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Unazo details zake zozote,may be biashara gani anafanya,umri wake in short wajihi wake kabla mama yake hajakuwa raisi?
Nyinyi mnapo leta tuhuma mbona hamziambatanishi na details zaidi ya maneno tu?
Leteni ushahidi wa mnayo yaongea ili tuhuma zenu zipate nguvu.
 
Una ushahidi gani wa kuwa hiyo gari ameinunua kwa kodi za wananchi?
Kwani kuwa mtoto wa rais kunamuondolea haki ya kuwa mfanya biashara hatimaye akaishi maisha ya kifahari?
Hana biashara za kueleweka.
 
Nakuelewa sn nimetoka page ya insta huko ,ht km kina riz walifanya kipindi hiko sio Kwa kiwango hiki ,too much 🙌

Mpk unsjiuliza Kwann basi wasifungue viwanda Kwa hizo pesa waajiri watz?
Viwanda wanaviuaa mwisho wanafanya makanisa wenzetu wanavifufua au kuvigeuza majengo mengine yenye maslahi ya wananchi wote. Mdano pale south Bend, indiana Us mayor wao Pete Butigieg
 
Cha upumbavu wa kiniita mjinga hakuna asiye jua kutukana.
Kwa hiyo sasa hivi tunatakiwa tumuhoji diamond kuwa ni kwa nini alikuwa msainii tajiri na maarufu kipindi cha kikwete na sio kipindi cha mkapa?
Au na ww tukuhoji ni kwanini hukuweza kupata mali fulani kipindi fulani ila kwanini uipate sasa hivi?

Hapa kinacho hitajika ni ushahidi wa hizi tuhuma zenu tofauti na hapo ni vijiba vya roho vina wasumbua tu kama ilivyo kawaida ya sisi masikini,kuwa kila aliye fanikiwa ni freemason, mwizi,mfuga majini,ametoa kafara.
Ww pambania watoto wako tofauti na hapo watakuwa kama ww kushinda nitandaoni ukiwatuhumu watoto wa wenzio kuwa ni wezi.
Hoja mfu kabisa hizi na ndiyo kwanza asubuhi ilitegemewa akili yako iwe active lakini imekaa kama ya maiti,ok sawa diamond ni mwanamuziki na wote hata ukienda kumuuliza mtoto mdogo anajua so anastahiki utajiri vipi mtoto wa raisi anafanya nini kinachojulikana na watu hata kuwa na ukwasi wote huo?

Kuwa maskini hakumfanyi mtu asihoji utajiri wa mwenzake kama ana fact,mtoto wa raisi analipia bima gari kwa mwaka mill 55 haikushangazi hii?
 
Elimu , Elimu , Elimu

Tunapewa elimu duni ya kukaririshwa hatuwezi kuhoji......na anayehoji anatekwa
Mtu mwenye elimu hawezi kuparamia kitu bila kupata ushahidi tosha iwapo ni la kweli au sio kweli .
Tabia za kurukia uvumi usio kuwa na ushahidi ni tabia za wapumbavu.
Hata kipindi cha kikwete uvumi ulikuwa mwingi maana kila ghorofa iliyo kuwa ina jengwa ,masheli yo yalikuwa ya Riziwan.
 
Kuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.

Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.

Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.

Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.

Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.

Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.

Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.

Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.

Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.

Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.

Chief in servant of the Zanzibar echo
Unataka aishi kma digi digi kisa mama ake ni rais bhc asitumie ela?
Una hakika gani anatumia ela za walipa kodi kwenye starehe
Alaf shida haziezi kuisha hata akiacha starehe huyu mtoto unaemuandama
 
Hana biashara za kueleweka.
Ww biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?
Au watu wote wanao miliki magari na majumba ta bei mbaya unajua biashara wanazo zifanya?
 
Ww biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?
Au watu wote wanao miliki magari na majumba ta bei mbaya unajua biashara wanazo zifanya?
Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
 
Hoja mfu kabisa hizi na ndiyo kwanza asubuhi ilitegemewa akili yako iwe active lakini imekaa kama ya maiti,ok sawa diamond ni mwanamuziki na wote hata ukienda kumuuliza mtoto mdogo anajua so anastahiki utajiri vipi mtoto wa raisi anafanya nini kinachojulikana na watu hata kuwa na ukwasi wote huo?

Kuwa maskini hakumfanyi mtu asihoji utajiri wa mwenzake kama ana fact,mtoto wa raisi analipia bima gari kwa mwaka mill 55 haikushangazi hii?
Hapa Tz kuna Watz wangapi wanamiliki magari ya bei mbaya kuliko hata hilo je unajua biashara zao?
Leteni ushahidi acheni uvumi maana hata mungu amehamisha uvumi kwa sababu umejaa maneno ya uongo.
 
Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
Nina kuuliza biashara zote za watz una zijua ?ww unajua mm nafanya biashara gani na nina miliki aset kiasi gani?
 
Nyinyi mnapo leta tuhuma mbona hamziambatanishi na details zaidi ya maneno tu?
Leteni ushahidi wa mnayo yaongea ili tuhuma zenu zipate nguvu.
Details ulete wewe unayepinga ili tukuamini ila sisi moja kwa moja tunaamini hakuna Mtanzania wa kawaida (labda mfanyabiashara mkubwa sanaa) anayeweza kufanya anayofanya mtoto wa kiongozi wa nchi.

Abdul ni Mtanzania kama tulivyo Watanzania wengine,kama mfanyabiashara atajulikana kama walivyo wengine wewe lete hapa taarifa zake anafanya nini na nini hata aweze kumiliki vyote hivyo?
 
Ww biashara zote za watz wote unazijua mpaka usema hana biashara ya kueleweka ?
Au watu wote wanao miliki magari na majumba ta bei mbaya unajua biashara wanazo zifanya?
Tume mtafiti Abdul kama mtoto wa Rais. Tukagundua hana vyanzo vya uhakika vya kumletea ukwasi huo wa haraka alionao.
 
Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
mtu mnafiki mzushi hua anapenda kutumia wingi ili apate kuhalalisha uzushi ona hii nyumbu ondoa neno tuna weka una
 
Nina kuuliza biashara zote za watz una zijua ?ww unajua mm nafanya biashara gani na nina miliki aset kiasi gani?
Sisi tuna deal na public figure kwa maslahi mapana ya taifa.

Abdul alikua muuza vipuri vya magari ilala.
 
Kijana anamuharibia sana mama yake. Anyway, inawezekana anayoyafanya Yana baraka kutoka kwa mama yake.
 
Ajabu sana kuna watu wanamtetea huyu mtoto hawaioni tofauti ya wao na yeye.

Always wamechanganya mahaba ya vitu visivyowasaidia lolote kwenye maisha yao hawa wawili ITR na zous wakimtetea samia hawamtetei kwa sababu ni uhalali wake kuwa raisi wanamtetea kwa mrengo mwengine kabisa.
 
Kutoa tuhuma bila ushahidi ndo ujinga na upumbavu mwenyewe.
Tuhuma bila ushahidi hubaki kama uvumi tu kama kipindi cha kikwete ambacho kila kampuni na kituo cha mafuta kilikuwa cha Riziwan.
Kwani ww mali zako ulizo nazo ulinunuliwa na wazazi wako?
Hayo madai yenu yanaweza kuwa ya kweli lakini kinacho hitajika ni ushahidi.
We ni mjinga sn huna akili, kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla ya maza ake kuwa Rais? kwamba watanzania wote hawaoni isipokuwa wewe na mumeo ndiyo mnaona?
 
Ajabu sana kuna watu wanamtetea huyu mtoto hawaioni tofauti ya wao na yeye.

Always wamechanganya mahaba ya vitu visivyowasaidia lolote kwenye maisha yao hawa wawili ITR na zous wakimtetea samia hawamtetei kwa sababu ni uhalali wake kuwa raisi wanamtetea kwa mrengo mwengine kabisa.
Unakuta anawapa rushwa rushwa hizi ndogo ndogo za kijinga ndiyo maana wanakuwa vipofu hawa wapumbavu
 
Back
Top Bottom