The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kuwa kama Samia (Rais ) nani angekuwa Mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavyotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chini ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehemu, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mimi nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fuatilia kesi ya mke wa aliekuwa rais wa Korea Kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo