ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Cha upumbavu wa kiniita mjinga hakuna asiye jua kutukana.Hivo mm sjasema kiongozi. Jiuliza kabla mama yake kua rais mbona hakununua, mbona hakua mfanyabiashara, mbona hakucheza casino za 1B mbona hakua na makampun yenye majina ya kichina.
Ww una prove ni wale wajinga wanaoliwa na wanaoturudisha nyuma huna elim alafu mjinga. Uwe na asubuhi njema chief
Kwa hiyo sasa hivi tunatakiwa tumuhoji diamond kuwa ni kwa nini alikuwa msainii tajiri na maarufu kipindi cha kikwete na sio kipindi cha mkapa?
Au na ww tukuhoji ni kwanini hukuweza kupata mali fulani kipindi fulani ila kwanini uipate sasa hivi?
Hapa kinacho hitajika ni ushahidi wa hizi tuhuma zenu tofauti na hapo ni vijiba vya roho vina wasumbua tu kama ilivyo kawaida ya sisi masikini,kuwa kila aliye fanikiwa ni freemason, mwizi,mfuga majini,ametoa kafara.
Ww pambania watoto wako tofauti na hapo watakuwa kama ww kushinda nitandaoni ukiwatuhumu watoto wa wenzio kuwa ni wezi.