Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

Huyu jamaa Yuko mbele ya muda, tatzo sio abduly tatzo ni wananchi wajinga
 

Attachments

  • Screenshot_2025-08-27_171150.jpg
    Screenshot_2025-08-27_171150.jpg
    46.3 KB · Views: 25
Una ushahidi gani wa kuwa hiyo gari ameinunua kwa kodi za wananchi?
Kwani kuwa mtoto wa rais kunamuondolea haki ya kuwa mfanya biashara hatimaye akaishi maisha ya kifahari?
 
K

Kuna watanzania hamna akili kabsa na ww ni mmoja wapo. Itatuchukua miaka mingi sana kuelimika, shida sio nani kafanya shida tunatka tulifikishe mwisho
Mkuu Ebu msome vizuri huyu Uliyempinga, kakwambia Mbona Watoto wa Wakubwa Wengineo Awakufanya hivyo why iwe Abdul? Anakusapoti Wewe kutokana na Post Yako, Nadhani umeshindwa kumuelewa, Ajakupinga Ata kidogo
 
Kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla maza ake hajawa Rais? madudu anayofanya Rostam Azizi kwenye migodi na watanzania sababu ya upumbavu wetu tumelala usingizi
Mkuu hoja yako ina mashiko sn na atakaye kushambulia nitag mimi nitamalizana naye, nitakulinda kwa nguvu zangu zote. Hatuwezi kuruhusu ujangili kwenye mali umma kisa wazazi wetu hawakusoma. Pumbavu kabisa
Una ushahidi juu ya hilo analo lisema mtoa mada?
Au mmeanza kutuletea hadithi za kusadikika kama za Riziwan kipindi cha kikwete?
 
Una ushahidi gani wa kuwa hiyo gari ameinunua kwa kodi za wananchi?
Kwani kuwa mtoto wa rais kunamuondolea haki ya kuwa mfanya biashara hatimaye akaishi maisha ya kifahari?
Hivo mm sjasema kiongozi. Jiuliza kabla mama yake kua rais mbona hakununua, mbona hakua mfanyabiashara, mbona hakucheza casino za 1B mbona hakua na makampun yenye majina ya kichina.
Ww una prove ni wale wajinga wanaoliwa na wanaoturudisha nyuma huna elim alafu mjinga. Uwe na asubuhi njema chief
 
Kwa mahesabu ya haraka mtu akinunua gari ya 3B, kwenye account sidhani kama trilioni au zaidi anakosa, sasa huyo ni mtoto tu...
Ujangili mkubwa anaofanya kwenye migodi ni aibu kubwa sn, kuna siku nilimkutana Mirerani anaigia mgodini watu wote wanakaguliwa ila yeye anaigia kama chooni, nikawauliza huyu anaigia ndani bila kukaguliwa kama nani na anafuata nini? walikosa majibu
 
K

Kuna watanzania hamna akili kabsa na ww ni mmoja wapo. Itatuchukua miaka mingi sana kuelimika, shida sio nani kafanya shida tunatka tulifikishe mwisho
Aisee hivi umeelewa nilichoandika?
Mi nimemjibu niliyemquote hapo juu umeona alichoandika?
Mbona km umekurupuka? au hizi spelling error , fuatilia michango yangu humu utaelewa
Nimemuuliza mbona hatujaona watt wa wengine wa viongozi wakfanya huu ujinga km shida ni wazazi wao kupata pesa?
So tuache kuongea sbb mtu akipata pesa anabadirika?

Pole kanisome tena
 
Tutabaki kusengenya na kulalama

Hamna kitu tutawafanya , na wataendelea kuzitafuna.
 
Kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla maza ake hajawa Rais? madudu anayofanya Rostam Azizi kwenye migodi na watanzania sababu ya upumbavu wetu tumelala usingizi
Ukisoma mada za humu utaelewa hii nchi wapumbavu ni wengi sana.

Watu wanaona raha tu kodi zao kufisadiwa kwa faida ya wachache.

Pathetic country
 
Kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla maza ake hajawa Rais? madudu anayofanya Rostam Azizi kwenye migodi na watanzania sababu ya upumbavu wetu tumelala usingizi
mi ndo nimemjibu toyeye I think hamjanielewa
Ye kasema ht ww ukipata pesa utabadirika.....
Ndo nimemuuliza mbona hatusikii watt wengine wa wakubwa wakifanya huo upuuzi? Au tukae kimya sbb watu wakipata pesa watabadirika?
 
Back
Top Bottom